Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
acha mambo yako mkuuKwa wakazi wa Dar es salaam, mlio kuwa munasema TMA ni waongo, Haya 👆 Sasa tupeni update Hali ilivyo hapo kwako.
e wee mkazi AU mfanya biashara wa Dar chukua tahadhari ya El Nino, IPO
Hiyo ndiyo tabia ya El nino,yaani inanyesha na joto juuWaulize wakazi wa temeke Leo 😂 watakuadisia , mvua ina nyesha kila SAA,alafu bado kuna joto, kijasho kinakutoka Yan
Novemba yote ni mvuaMkuu nakuambia huu mwezi kuna watu watalia
1997 au 1998 kama sikosei. Ilipoga kwelikweli, sisi wakazi wa Morogoro tulikuwa kama Mamba au kambare mkuu. Si kwa maji na mvua zile.Kwakweli tulioshuhudia Elnino ya mwaka huo wakituambia sasa Kuna Elnino tunaona kama wanatukejeli hv. Nilipata kushuhudia mvua inanyesha siku Tano bila kukata miaka hiyo
😳😂😂Dar kubwa toka lini?
😳1997 au 1998 kama sikosei. Ilipoga kwelikweli, sisi wakazi wa Morogoro tulikuwa kama Mamba au kambare mkuu. Si kwa maji na mvua zile.
😂😂😂Watoto wa 2000, wanata na Wao waiyone El Nino hapa Dar 🥺
Hoya mwana unazingua kinomaNa shangaa
Ahsante Sana mkuuHongera kwa kuwa na kwako..
Ubarikiwe sana mkuu kwa kujengaAhsante Sana mkuu
Hongera sana kwa kujua mwaka sahihi mkuuMwaka 1997 sio 98