El Nino ipo chukua HATUA mapema

El Nino ipo chukua HATUA mapema

Sasa na lile bwawa la umeme lenye UFA,na hii El Nino Kweli litapona Kweli😂
 
We utakuwa uko chanika halafu unasema uko Dar
Maana mvua inaanzia pugu mpaka chanika huko..

Una miaka mingapi?
Unaijua Elnino kweli?
Mwaka 1998 Ulikuwa na miaka mingapi?
Uliona ilivyokuwa? Unajua athari zke?
[emoji23]dah yaan unazungumzia 1998? Aseee
 
Msije mkashangaa El Nino ikaondoka na bwawa letu la umeme,tutaula wa Chuya 😂
 
El Nino kama Kweli ikipiga kuna Miradi ya ujenzi, itabidi ifanyiwe rehabilitation kabisa
 
Kama El Nino ikipiga Kweli,kuna uwezekano mgawo wa umeme ukadumu mpaka mwakani , kwenye Bunge la bajeti
 
sawa, tunashukuru kwa taarifa. ila hiyo haiondoi ukweli kwamba TMA huwa hamueleweki wala kuaminika.
TMA mbona wanatoa update vizur Tu, SEMA serikali inaingilia ushauri Wao😂
 
Mkuu usijali utafikwa ni swala la muda
Na ndo maana nikakuuliza kama unajua chchote kuhusu ELNINO maana hiyo sio elnino ni Mvua ya vuli ya kawaida..
Ungekuwa una umri mkubwa kung'amua Elinino ikoje na ina sifa gani usinge sema hivyo...
Anyway Hta TMA Wametangaza kuwa ni VULI Rain na sio Elnino
 
Kwakweli tulioshuhudia Elnino ya mwaka huo wakituambia sasa Kuna Elnino tunaona kama wanatukejeli hv. Nilipata kushuhudia mvua inanyesha siku Tano bila kukata miaka hiyo
Mkuu Elnino iliondoka na barabra ya kati ikaharibu madaraja kama karatasi ikabomoa nyumba kama haina akili watu alioitwa matajiri wakawa omba omba wa msaada...
Unakuja kufananisha na kimvua kinanyesha mbagala halafu Tabata pakavu..Na kikinyesha kinabyesha kwa only Nusu saa tu 😅😅
Afu mtu anasema ni elnino...Lazma uwe na mashaka na umri Wake 🤣🤣🤣
 
Kwani Chanika ni Kisarawe?

Kisarawe inaanzia Homboza
Haha kama unaishi Chanik mzee wewe uko Kisarawe tu wala sio Dar hii kulazimisha mnaishi Dar itaisha lini kuanzia Gongo la mboto wote nyie ni kisarawe tu..

Unakuta mtu anaishi Ulongoni B au ulongoni A bado anasema eti anaishi Dar hebu acheni hizo wazalamo wa Kisarawe nyinyi
 
We utakuwa uko chanika halafu unasema uko Dar
Maana mvua inaanzia pugu mpaka chanika huko..

Una miaka mingapi?
Unaijua Elnino kweli?
Mwaka 1998 Ulikuwa na miaka mingapi?
Uliona ilivyokuwa? Unajua athari zke?
Ni kweli kuanzia Pugu inamwagika si poa
 
Mwaka 1997 sio 98
Mzee elinino ilikuwa 98, na sio 97...97 ilikuwa ni vuli ya kawaida tu..
na nina historia mbaya sana kuhusu elinino na ndo ilikuwa nimetoka kuoa Tu mzee wangu mwaka 98, baba angu mkwe alifariki kwenye ajali ya basi na chanzo kikiwa ni elnino nina matukio Zaidi ya 10 nikikumbuka elnino huwa nasema Mungu inawezekana yupo...
Ntakupa experience ya baba mkwe...

Alikuwa akitoka Tanga kuja Dar kunisalimia!

Kapanda basi la kampuni ya No Challenge aina ya Isuzu yenye namba za usajili TZK 960,
basi lilikuwa limeondoka Tanga saa 11:00 lilifika eneo la mto Msangazi maeneo ya muheza huko saa 11:45 jioni.
Ndipo lilipopata Ajali kutokana kuwa na mvua kubwa na elnino walikuwepo watu 75 kati ya hao walionusurika watu watatu tu"
mzee naijua elnino vizuri sana kuliko hata mwanangu..
nakumbuka Nyumba zilivyokuwa zinaharibika nikikumbuka ni kama napata flash lights za matukio ya elnino..
halafu mpuuzi mmoja anafananisha elnino na Hivi vinyunvyu...
 
Back
Top Bottom