Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaHoya Mzee , mm nafanya kuwasanua wana
[emoji23][emoji23][emoji23] Tz nakupenda kwa moyo...Tz my country [emoji23][emoji23]
[emoji23]dah yaan unazungumzia 1998? AseeeWe utakuwa uko chanika halafu unasema uko Dar
Maana mvua inaanzia pugu mpaka chanika huko..
Una miaka mingapi?
Unaijua Elnino kweli?
Mwaka 1998 Ulikuwa na miaka mingapi?
Uliona ilivyokuwa? Unajua athari zke?
sawa, tunashukuru kwa taarifa. ila hiyo haiondoi ukweli kwamba TMA huwa hamueleweki wala kuaminika.Ndio mchukue Tahadhari kabla ya hatari
Na ndo maana nikakuuliza kama unajua chchote kuhusu ELNINO maana hiyo sio elnino ni Mvua ya vuli ya kawaida..Mkuu usijali utafikwa ni swala la muda
Mkuu Elnino iliondoka na barabra ya kati ikaharibu madaraja kama karatasi ikabomoa nyumba kama haina akili watu alioitwa matajiri wakawa omba omba wa msaada...Kwakweli tulioshuhudia Elnino ya mwaka huo wakituambia sasa Kuna Elnino tunaona kama wanatukejeli hv. Nilipata kushuhudia mvua inanyesha siku Tano bila kukata miaka hiyo
Haha kama unaishi Chanik mzee wewe uko Kisarawe tu wala sio Dar hii kulazimisha mnaishi Dar itaisha lini kuanzia Gongo la mboto wote nyie ni kisarawe tu..Kwani Chanika ni Kisarawe?
Kisarawe inaanzia Homboza
nipo na ponjolo mkuuMkuu umebeba umbrella, AU Koti kama la kijeshi ivi?
Ni kweli kuanzia Pugu inamwagika si poaWe utakuwa uko chanika halafu unasema uko Dar
Maana mvua inaanzia pugu mpaka chanika huko..
Una miaka mingapi?
Unaijua Elnino kweli?
Mwaka 1998 Ulikuwa na miaka mingapi?
Uliona ilivyokuwa? Unajua athari zke?
Mzee elinino ilikuwa 98, na sio 97...97 ilikuwa ni vuli ya kawaida tu..Mwaka 1997 sio 98
Kwanini mzee ulikuwa bado hujzaliwa au..Maana 98 me nilikuwa ndo nimepata Jiko mwaka huo nimeondokana na ubachela[emoji23]dah yaan unazungumzia 1998? Aseee