El Nino ipo chukua HATUA mapema

El Nino ipo chukua HATUA mapema

Kwa wakazi wa Dar es salaam, mlio kuwa munasema TMA ni waongo, Haya 👆 Sasa tupeni update Hali ilivyo hapo kwako.

e wee mkazi AU mfanya biashara wa Dar chukua tahadhari ya El Nino, IPO
We utakuwa uko Chanika halafu unasema uko Dar. Maana mvua inaanzia Pugu mpaka Chanika huko..

Una miaka mingapi?
Unaijua Elnino kweli?
Mwaka 1998 Ulikuwa na miaka mingapi?
Uliona ilivyokuwa? Unajua athari zke?
 
Hiyo el nino wengine tunaisubiri kwa hamu, ina faida kubwa sana kiuchumi. Mvua kubwa ikinyesha hujaza mito na mabwawa na kufanya samaki wengi watoke kwenye makazi yao na kuja nje kufuata chakula katika kina kifupi cha maji. Kadiri maji hayo yaliyotapakaa kwenye kina kifupi yanapopungua kurudi mtoni na kwenye mabwawa huacha samaki wakionekana nje na kuwa rahisi kuvuliwa kwa wingi. Samaki wengi hukwama kurudi mtoni na mabwawani
 
El Nino, unahitaji Huku, una faida kiuchumi
 
We utakuwa uko chanika halafu unasema uko Dar
Maana mvua inaanzia pugu mpaka chanika huko..

Una miaka mingapi?
Unaijua Elnino kweli?
Mwaka 1998 Ulikuwa na miaka mingapi?
Uliona ilivyokuwa? Unajua athari zke?
Huku Temeke inapiga kinoma
 
We utakuwa uko chanika halafu unasema uko Dar
Maana mvua inaanzia pugu mpaka chanika huko..

Una miaka mingapi?
Unaijua Elnino kweli?
Mwaka 1998 Ulikuwa na miaka mingapi?
Uliona ilivyokuwa? Unajua athari zke?
Mkuu usijali utafikwa ni swala la muda
 
Hiyo el nino wengine tunaisubiri kwa hamu, ina faida kubwa sana kiuchumi. Mvua kubwa ikinyesha hujaza mito na mabwawa na kufanya samaki wengi watoke kwenye makazi yao na kuja nje kufuata chakula katika kina kifupi cha maji. Kadiri maji hayo yaliyotapakaa kwenye kina kifupi yanapopungua kurudi mtoni na kwenye mabwawa huacha samaki wakionekana nje na kuwa rahisi kuvuliwa kwa wingi. Samaki wengi hukwama kurudi mtoni na mabwawani
Pia inasaidia mamba wa mtoni kuja kuishi kwenye madimbwi. Nyoka watakimbilia ndani kwa sababu hawawezi kuogelea.
Bila kusahau mtatapisha vyoo
 
El Nino, unahitaji Huku, una faida kiuchumi
ndio, naihitaji ina faida kiuchumi, kuuza samaki kwa wingi, samaki wanaotokana na mafuriko ya mito na mabwawa, samaki hutoka huko na kuja kwenye kina kifupi cha maji, kuwavua inakuwa rahisi mno hata kwa mikono unawashika
 
Pia inasaidia mamba wa mtoni kuja kuishi kwenye madimbwi. Nyoka watakimbilia ndani kwa sababu hawawezi kuogelea.
Bila kusahau mtatapisha vyoo
mamba wenyewe wakitoka nje ya mito wamekwisha, watafanywa kitoweo sawa na samki tu
 
Back
Top Bottom