El Nino ipo chukua HATUA mapema

El Nino ipo chukua HATUA mapema

Kwa wakazi wa Dar es salaam, mlio kuwa munasema TMA ni waongo, Haya 👆 Sasa tupeni update Hali ilivyo hapo kwako.

Ewee mkazi AU mfanya biashara wa Dar chukua tahadhari ya El Nino, IPO
Mvua zinazonyesha ni za kawaida, mvua ikinyesha mfululizo si kipimo cha Eli Nino na mito ikijaa maji pia si kipimo cha Eli Nino.
 
ndio, naihitaji ina faida kiuchumi, kuuza samaki kwa wingi, samaki wanaotokana na mafuriko ya mito na mabwawa, samaki hutoka huko na kuja kwenye kina kifupi cha maji, kuwavua inakuwa rahisi mno hata kwa mikono unawashika
Umenikumbusha mbali sana,samak hufuatilia maji yanapokwenda,sasa baada ya muda wanajishangaa wapo kwenye vidimbwi hatimae tunawazoa tu
 
Umenikumbusha mbali sana,samak hufuatilia maji yanapokwenda,sasa baada ya muda wanajishangaa wapo kwenye vidimbwi hatimae tunawazoa tu
nimeishi vijiji viwili huko Moshi vijijini kata ya Arusha chini TPC, huko mafuriko yanapendwa kwa kusafisha ardhi yenye magadi na kuiacha safi kwa kilimo na upatikanaji wa samaki kwa urahisi. Samaki unapimiwa sado kwa buku tu. Kila mwanakijiji anapata samaki hata kama si mvuvi. Samaki ni wa kuokota kwenye vidimbwi. Hiyo ndiyo faida ya mafuriko
 
Msaranga
 
Hiyo el nino wengine tunaisubiri kwa hamu, ina faida kubwa sana kiuchumi. Mvua kubwa ikinyesha hujaza mito na mabwawa na kufanya samaki wengi watoke kwenye makazi yao na kuja nje kufuata chakula katika kina kifupi cha maji. Kadiri maji hayo yaliyotapakaa kwenye kina kifupi yanapopungua kurudi mtoni na kwenye mabwawa huacha samaki wakionekana nje na kuwa rahisi kuvuliwa kwa wingi. Samaki wengi hukwama kurudi mtoni na mabwawani
Umeielezea vizuri sana kiuchumi.
 
Back
Top Bottom