carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Unbelievable! How many degrees does it take to understand that a perpetrator of abductions is unfit to handle abductions investigation?Mkurugenzi wa Everlasting Legal Aid Foundation (ELAF), Dkt. Khamis Masoud, amependekeza kuundwa kwa kitengo maalum ndani ya Jeshi la Polisi kitakachoshughulikia taarifa na uchunguzi wa watu wanaopotea, kikifanana na vitengo maalum vilivyopo vya kuchunguza uhalifu wa kifedha.
Dkt. Masoud amesema ujasusi na uchunguzi vinapaswa kuzingatia ushahidi, weledi, nidhamu na dhamiri ya kutafuta haki, badala ya kutumika kunyamazisha watu kinyume cha sheria. Ameeleza kuwa kitengo hicho kinapaswa kuwa na wataalamu waliobobea katika haki za binadamu, uchunguzi wa kidigitali na taaluma nyingine za kiuchunguzi ili kuhakikisha taarifa za watu wanaopotea zinachakatwa na kufanyiwa kazi kwa haraka na weledi.
Chanzo: Habari Digital
That so called Doctor is probably new in the country.Unbelievable! How many degrees does it take to understand that a perpetrator of abductions is unfit to handle abductions investigation?
Huyo nae mjinga, watu hawapotei wanatekwa na kuuliwa na serikali. Sasa kitengo hicho cha polisi kitakuwa kinachubguza nini. Huu unafiki wa watu kuzunguka ukweli ndio unawapa hata usalama na polisi nguvu ya kuendelea kuwateka chadema na kuwaua. Suala hapa ni kukemea huo uovu kama huna uwezo wa kufanya action ya kudeal na watekaji.Mkurugenzi wa Everlasting Legal Aid Foundation (ELAF), Dkt. Khamis Masoud, amependekeza kuundwa kwa kitengo maalum ndani ya Jeshi la Polisi kitakachoshughulikia taarifa na uchunguzi wa watu wanaopotea, kikifanana na vitengo maalum vilivyopo vya kuchunguza uhalifu wa kifedha.