Elclasico kabla na baada ya Messi

Elclasico kabla na baada ya Messi

Yani mwanzo nimejua utatoa madini kumpinga kwa fact kuwa Messi si mchezaji bora nashangaa umeanza mahubiri tena!
Brother unakosea unavyosema hivyo, sisi waislamu tumefundishwa kuwa anaejua Ghayb/mambo magumu yasiojulikana au kutabirika ni Allah azza wa Jalla/Hidden World ni Allah peke yake yeye ndio ana elimu hiyo

Messi ni kiumbe kama viumbe wengine na Allah huumba anavyopenda na anaweza kuja umba Zaidi mara kuliko kuliko huyo Messi, Wallahu yakhluku maa yashaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishakupa fact hapo kuwa Allah huumba anavyotaka, akitaka kuumba mtu mrefu sana huwa hivyo, akitaka kuumba mtu mwenye akili sana iwe za kimpira pia huwa hivyo, akitaka kuumba mtu mwenye mbio sana(Pace) pia huwa hivyo
 
Brother unakosea unavyosema hivyo, sisi waislamu tumefundishwa kuwa anaejua Ghayb/mambo magumu yasiojulikana au kutabirika ni Allah azza wa Jalla/Hidden World ni Allah peke yake yeye ndio ana elimu hiyo

Messi ni kiumbe kama viumbe wengine na Allah huumba anavyopenda na anaweza kuja umba Zaidi mara kuliko kuliko huyo Messi, Wallahu yakhluku maa yashaa

Shukran kunielimisha kaka, Allah akujaze kheiri!
 
Back
Top Bottom