Olliver Seid
Member
- May 12, 2017
- 51
- 125
Tamu sana hii, mliosema maendeleo ya Kenya yapo Nairobi pekee yake basi mkome, yaani my home town Eldy hadi raha.....
Kwa sababu hamna hivi vitu. Huwezi brag jambo ambalo huna.Yah round about nusu nusu zinawafanya muandike Uzi...Tz hatuna muda wa kubrag vitu vidogo hivyo
Mini Cha ajabu hapo..Kwa sababu hamna hivi vitu. Huwezi brag jambo ambalo huna.
Kenya ni nchi mbaya sana kwa kauli yako, pia ni jangwa, lakini tuko juu yenyu LDC kwa vitu vingi tu, na mnajidai mko na kila kitu huoni ni aibu kubwa kuwa mahali mpo![emoji23][emoji23]Kenya mna nchi mbaya sana, hilo ni jangwa???
Kisumu hata dar haiwezi fikia sahii. [emoji23].Na bado, flyovers kila kona hadi mashambani, from Kisumu(complete highway to Lodwa) kuna several all the way to Kitale; apart from za Kisumu, kuna overpass Chavakali, an interchange junction ya ku connect Kakamega road from Eldoret-Malaba highway, in webuye place inaitwa "kwa Dinna juction" joining Kitale road off Eldoret-Malaba highway again, when entering Kitale town there is n.k., kwa wengine ni Dar pekee, Kenya watu mashambani washazichoka sasa.
Naona Naks Vegas picha ya pili. Cool.Kisumu hata dar haiwezi fikia sahii. [emoji23].
Kenya might have overtaken Morocco by now. View attachment 1488321
Eh. Nax. Very smooth roads there. Is the Lodwar road complete?Naona Naks Vegas picha ya pili. Cool.
Mnatuzidi nini ambacho kwako ni kila kitu!!!!Kenya ni nchi mbaya sana kwa kauli yako, pia ni jangwa, lakini tuko juu yenyu LDC kwa vitu vingi tu, na mnajidai mko na kila kitu huoni ni aibu kubwa kuwa mahali mpo![emoji23][emoji23]
Mnatuzidi nini ambacho kwako ni kila kitu!!!!
Njaa,maambukizi ya covid,uhalifu,rushwa,ukosefu wa ajira,na deni la taifa.
Hamna uchungu wowote zaidi tunashangaa kwanini hamko zaidi ya hapo!!![emoji16][emoji16],maana wazungu mmekaa nao wameishia kuhodhi ardhi na kuwafundisha kiingereza.That's the few negatives that have filled your head kaka[emoji23][emoji23], pia kwenyu kuna negatives,(and almost all countries kuna list) ni uchungu kuona nchi yenye challenges kibao kama Kenya iko juu yenyu, yani ni aibu mno., miaka hii yote tangu Uhuru ama mumalize "kusaidia kukomboa Africa kusini", (like u actively participated at all[emoji23]), what have u been doing?., musisingizie mambo yasio kuwa na msingi kwa maendeleo mnayofaa kukua nayo. Blame it on your useless CCM.,
Hizo barabara zinamawimbi Kama tsunami..alaf mbona barabara mnazotumia Ni zile zile tu..mnabadili angle, Mara mpige nusu acheni uzwazwaKisumu hata dar haiwezi fikia sahii. [emoji23].
Kenya might have overtaken Morocco by now.
View attachment 1488350
Hamna uchungu wowote zaidi tunashangaa kwanini hamko zaidi ya hapo!!![emoji16][emoji16],maana wazungu mmekaa nao wameishia kuhodhi ardhi na kuwafundisha kiingereza.
Sisi wakati uchumi ndio unaanza kutambaa,tukakaingia vitani na uganda,mara mozambique nk.
Tunachofanya ni kujenga base yetu ya kijamaa,ndio maana hatuwaelewi,uchumi mkubwa tu 99$bln na bado mnakopa kopa kama wahuni tu,deni linazidi kukua.wakati sisi tuko na $60bln na tunawasumbua vibaya,kuanzia kwenye maamuzi mpaka maisha ya mtu mmoja mmoja.