Eldoret bypass pictorial (Under construction)

Hamna uchungu wowote zaidi tunashangaa kwanini hamko zaidi ya hapo!!![emoji16][emoji16],maana wazungu mmekaa nao wameishia kuhodhi ardhi na kuwafundisha kiingereza.

Sisi wakati uchumi ndio unaanza kutambaa,tukakaingia vitani na uganda,mara mozambique nk.

Tunachofanya ni kujenga base yetu ya kijamaa,ndio maana hatuwaelewi,uchumi mkubwa tu 99$bln na bado mnakopa kopa kama wahuni tu,deni linazidi kukua.wakati sisi tuko na $60bln na tunawasumbua vibaya,kuanzia kwenye maamuzi mpaka maisha ya mtu mmoja mmoja.
Tanzania ya Sasa ni Kenya ya 80s so your point is null and void.
 
Eldoret Souther Bypass interchange

1.JPG
 
Hamna uchungu wowote zaidi tunashangaa kwanini hamko zaidi ya hapo!!![emoji16][emoji16],maana wazungu mmekaa nao wameishia kuhodhi ardhi na kuwafundisha kiingereza.

Sisi wakati uchumi ndio unaanza kutambaa,tukakaingia vitani na uganda,mara mozambique nk.

Tunachofanya ni kujenga base yetu ya kijamaa,ndio maana hatuwaelewi,uchumi mkubwa tu 99$bln na bado mnakopa kopa kama wahuni tu,deni linazidi kukua.wakati sisi tuko na $60bln na tunawasumbua vibaya,kuanzia kwenye maamuzi mpaka maisha ya mtu mmoja mmoja.
Of course mnatuzidi msisha ya mtu mmoja mmoja kama hawa
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Hizo barabara zinamawimbi Kama tsunami..alaf mbona barabara mnazotumia Ni zile zile tu..mnabadili angle, Mara mpige nusu acheni uzwazwa
Uko na mauchungu kweli kaka. Meza panadol. Hizi bararaba mbili zlizoleta hapo juu ni ya miji miwili tofauti. Ya juu Ni ya Nakuru na hiyo ya chini Ni Kisumu. Pole kwa maumivu 😂
 
Back
Top Bottom