Inauma but itabidi uzoee πHii mlishailetaga humu basi mnairudia kila siku.
πππYah round about nusu nusu zinawafanya muandike Uzi...Tz hatuna muda wa kubrag vitu hatuna hata vidogo hivyo
Mkuu naona dalili za povu ππMini Cha ajabu hapo..
Tanzania ya Sasa ni Kenya ya 80s so your point is null and void.Hamna uchungu wowote zaidi tunashangaa kwanini hamko zaidi ya hapo!!![emoji16][emoji16],maana wazungu mmekaa nao wameishia kuhodhi ardhi na kuwafundisha kiingereza.
Sisi wakati uchumi ndio unaanza kutambaa,tukakaingia vitani na uganda,mara mozambique nk.
Tunachofanya ni kujenga base yetu ya kijamaa,ndio maana hatuwaelewi,uchumi mkubwa tu 99$bln na bado mnakopa kopa kama wahuni tu,deni linazidi kukua.wakati sisi tuko na $60bln na tunawasumbua vibaya,kuanzia kwenye maamuzi mpaka maisha ya mtu mmoja mmoja.
Naona umeamua kueditπππ
How can you brag about something that you don't have?Yah round about nusu nusu zinawafanya muandike Uzi...Tz hatuna muda wa kubrag vitu vidogo hivyo
Of course mnatuzidi msisha ya mtu mmoja mmoja kama hawaHamna uchungu wowote zaidi tunashangaa kwanini hamko zaidi ya hapo!!![emoji16][emoji16],maana wazungu mmekaa nao wameishia kuhodhi ardhi na kuwafundisha kiingereza.
Sisi wakati uchumi ndio unaanza kutambaa,tukakaingia vitani na uganda,mara mozambique nk.
Tunachofanya ni kujenga base yetu ya kijamaa,ndio maana hatuwaelewi,uchumi mkubwa tu 99$bln na bado mnakopa kopa kama wahuni tu,deni linazidi kukua.wakati sisi tuko na $60bln na tunawasumbua vibaya,kuanzia kwenye maamuzi mpaka maisha ya mtu mmoja mmoja.
Uko na mauchungu kweli kaka. Meza panadol. Hizi bararaba mbili zlizoleta hapo juu ni ya miji miwili tofauti. Ya juu Ni ya Nakuru na hiyo ya chini Ni Kisumu. Pole kwa maumivu πHizo barabara zinamawimbi Kama tsunami..alaf mbona barabara mnazotumia Ni zile zile tu..mnabadili angle, Mara mpige nusu acheni uzwazwa
Masikini akipata..matano hulia mbwataHow will you brag about something that you don't have?
Sasa tuliza kende basiMasikini akipata..matano hulia mbwata