Naxvegas254
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 542
- 316
Najua hawezi jibu ila habari ameipata loud and clear.Umeamua umuite huyo mzee wa mwakani, ila hii ni game changer yaani. Yeyote ambaye hakuipiku Kenya hadi sasa asahau kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua hawezi jibu ila habari ameipata loud and clear.Umeamua umuite huyo mzee wa mwakani, ila hii ni game changer yaani. Yeyote ambaye hakuipiku Kenya hadi sasa asahau kabisa.
Kipindi cha utoto wetu wakati wa Rais Moi, kila baada ya taarifa ya habari kwa njia ya redio, kuna wimbo ulikuwa ukipigwa una maneno yanasema, ........... SISI WANA KENYA TUMEAPA, KUWA NAWE PAMOJA SIKU ZOTE. WEWE NDIYE RAIS MOI DEREVA, WETU KENYA HATUNA MWINGINE.Works on the Eldoret Bypass are at an advanced stage. Major structures and interchanges which include Leseru (Maili Tisa), Railway Bridge, Sosiani River Bridge, Simat Bridge, Lemook Bridge and Kapseret Interchange have began taking shape. Works on the Cheplaskei Interchange will commence in April 2020.
![]()
![]()
![]()
Fimbo ya nyayo,Kipindi cha utoto wetu wakati wa Rais Moi, kila baada ya taarifa ya habari kwa njia ya redio, kuna wimbo ulikuwa ukipigwa una maneno yanasema, ........... SISI WANA KENYA TUMEAPA, KUWA NAWE PAMOJA SIKU ZOTE. WEWE NDIYE RAIS MOI DEREVA, WETU KENYA HATUNA MWINGINE.
Ilikuwa zamani, sijui kuna mtu humu jukwaani anaweza akawa anazikumbuka nyimbo hizi. Zilikuwa nzuri sana, nilikuwa nasubiria taarifa ya habari iishe haraka halafu nisikilize wimbo utakaopigwa baada ya taarifa hiyo!