Eldoret Southern Bypass - Under Construction

Kipindi cha utoto wetu wakati wa Rais Moi, kila baada ya taarifa ya habari kwa njia ya redio, kuna wimbo ulikuwa ukipigwa una maneno yanasema, ........... SISI WANA KENYA TUMEAPA, KUWA NAWE PAMOJA SIKU ZOTE. WEWE NDIYE RAIS MOI DEREVA, WETU KENYA HATUNA MWINGINE.
Ilikuwa zamani, sijui kuna mtu humu jukwaani anaweza akawa anazikumbuka nyimbo hizi. Zilikuwa nzuri sana, nilikuwa nasubiria taarifa ya habari iishe haraka halafu nisikilize wimbo utakaopigwa baada ya taarifa hiyo!
 
Fimbo ya nyayo,
Fimbo ya nyayo,
Yatuongoza kwenda wapi...πŸ˜„

Hata sisi tulikuwa na Praise Team nyakati zile πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…