Eldoret vs Mwanza

Eldoret vs Mwanza

b.JPG

Rock City football pitch at ccm kirumba mwanza
 
jamani ni ukatuni kuona ushamba wa eldoret kulinganjsha na mwanza.....aiseee ni habar zakijinga wakenya picha zinawapumbaza

Mwanza inajulikana beyond the borders of Tanzania??? Tunaijua sana Mwanza yule mchezaji wa Zambia.....
 
Mwanza inajulikana beyond the borders of Tanzania??? Tunaijua sana Mwanza yule mchezaji wa Zambia.....
[emoji38],Kenya ukiondoa nairobi wapi pengine?ukivuka boda nani anajua tofauti na nairobi?
 
[emoji38],Kenya ukiondoa nairobi wapi pengine?ukivuka boda nani anajua tofauti na nairobi?

Tehehehee.... Afadhali kuliko Danganyika... Ukiuliza mtu atadhani ni matawai ya mti fulani.... Sasa iwe Mwanza?? ?
 
Wenzako tu hawa.... Si we ni yule mzee unauza supu ya Pweza pale Gongolamboto?????
Hiyohiyo supu ya pweza imenifanya nimilii ardhi kubwa na ya kuvutia ambayo mamilioni ya wakenya hawana
 
Back
Top Bottom