jamani ni ukatuni kuona ushamba wa eldoret kulinganjsha na mwanza.....aiseee ni habar zakijinga wakenya picha zinawapumbaza
[emoji38],Kenya ukiondoa nairobi wapi pengine?ukivuka boda nani anajua tofauti na nairobi?Mwanza inajulikana beyond the borders of Tanzania??? Tunaijua sana Mwanza yule mchezaji wa Zambia.....
hiyo sasa ni makosa yako.... unablame watu for your ignorance.[emoji38],Kenya ukiondoa nairobi wapi pengine?ukivuka boda nani anajua tofauti na nairobi?
We ndio zobahiyo sasa ni makosa yako.... unablame watu for your ignorance.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi Kenya nafahamu kibera tu[emoji38],Kenya ukiondoa nairobi wapi pengine?ukivuka boda nani anajua tofauti na nairobi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi Kenya nafahamu kibera tu
[emoji38],Kenya ukiondoa nairobi wapi pengine?ukivuka boda nani anajua tofauti na nairobi?
Eldoret size ya moshiEldoret yenyewe ni home of champions...mwanza
Hiyohiyo supu ya pweza imenifanya nimilii ardhi kubwa na ya kuvutia ambayo mamilioni ya wakenya hawanaWenzako tu hawa.... Si we ni yule mzee unauza supu ya Pweza pale Gongolamboto?????
Mwenye idadi ya watu kwenye hii miji miwili
Gdp just a figure xome time does not relate wth the level of developmentMy friend can you please tell me your GDP and Kenyas gdp