Election 2017: Kenya now has three female governors

Jay456watt

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
10,356
Reaction score
7,992
kwanza lets observe a moment of silence for the fallen heroes of NASA...RIP NASA...jamaa wameenda nyumbani wote... lol! what a waste of campaign funds
Rais ashachaguliwa...kenya has decided that Kenyatta will take the country forward till 2022...watu wameenda nyumbani wengi sana... team nzima ya NASA except Weta wameenda nyumbani including Issac Rutto...lol! this guy ameshindwa na laboso...we have three women governor so far...
Charity Ngilu:Kitui
Anne Waiguru: Kirinyaga
Joyce Laboso:Bomet
Evans Kidero ameenda nyumbani...lol!
nairobi was the best result ever...kidero bye bye..
nakumbuka wakimwambia rais ajitayarishe kwenda Gatundu ila team yao nzima ndio wamepelekwa nyumbani...yaani aliyebaki kasimama ni Wetangula na Joho pekee yake...wengine wote wapo wanalea kuku na bata...another shocking one is Kabogo...amekusanya virago vyake akielekea nyumbani
 
Kabogo at least lakini wale Naswa yule mtu ambaye Solomon Shahbali amenikosea sana ni kumuacha joho kama gavana Mombasa
 
Rais ashachaguliwa...kenya has decided that Kenyatta will take the country forward till 2022...watu wameenda nyumbani wengi sana... team nzima ya NASA except Weta wameenda nyumbani including Issac Rutto...lol! this guy ameshindwa na laboso...we have three women governor so far...
Charity Ngilu:Kitui
Anne Waiguru: Kirinyaga
Joyce Laboso:Bomet
Evans Kidero ameenda nyumbani...lol!
nairobi was the best result ever...kidero bye bye..
nakumbuka wakimwambia rais ajitayarishe kwenda Gatundu ila team yao nzima ndio wamepelekwa nyumbani...yaani aliyebaki kasimama ni Wetangula na Joho pekee yake...wengine wote wapo wanalea kuku na bata...another shocking one is Kabogo...amekusanya virago vyake akielekea nyumbani
Hahaha, nimefurahi sana Kidero amepata kichapo na kwenda nyumbani.To tell you the truth i don't think ODM was interested in serving the voters nia yao ilikuwa ni to add up the numbers and pride of capturing the seat.

Kinara wao Odinga alilalamika sana wakati wabunge ,magavana wao wakifanya kazi na Jubilee ili ku-implement miradi kadhaa.It was all about politics 1st and Odinga's interests above voters interests.
 
Hahaha, nimefurahi sana Kidero amepata kichapo na kwenda nyumbani.To tell you te truth i don't think ODM was interested in serving the voters yao ilikuwa ni to add up the numbers and pride of capturing the seat.

Kinara wao Odinga alilalamika sana wakati wabunge ,magavana wao wakifanya kazi na Jubilee ili ku-implement miradi kadhaa.It was all about politics 1st and Odinga's interests above voters interests.
yah wao walikuwa tu ni kupata kiti...hakuna sera kwa hii nchi...yaani wakenya wamewatandika kiboko wakaskia...i love this election...sasa raila ni past tense
 
Mombasa ndo kuna mambumbumbu zaidi ya wote. Niliona campaign video ya Joho aisee, kando na kudance chekecha ndani ya kitchen yake hamna chochote kingine alichowaambia wafuasi wake! Na bado wamempa kura eti! Hehe,Sultani ametisha!
 
But Uhuru did Johos Work he came and campaigned vigourously for Joho....no?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkiuwa NASA, mjitaarishe kurudi kwenye utawala wa chama kimoja.
hii ni ktk uchaguzi huu...ila NASA bado ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi hii...bila NASA, Jubilee will have ultimate power kama hio yenu huko na CCM....a dictatorial kind of power that cannot be allowed in any democratic nation...
 
The problem is, its easy to point finger without knowing the root course Tanzanian multi party politics. CCM wamekua hapo sio kwasababu vyama vingine vimeshindwa kujiendeleza mpaka vika aminika kwa Watanzania wengi, majority of Tanzanian hajaona alternative to CCM so far. Hivi vyama vimekuwepo ulingoni for more than 20 years. Kama walikuwa wanayimwa uhuru all that time wasinge simama kwenye any election. Leo hii waulize wana wanachama wangapi? CCM women wing alone ina wanachama wengi kuliko Chadema. Last election CCM filed Candidates on all constituency countrywide including Zanzibar, ask opposition if the did the same, so there no miracles there.

kitu ambacho kina fanya kenya kuwa na makundi makubwa ya kisiasa ni ukabila, makundi mengi yamejijenga kutokana na ngome za kikabila. Kama Kenya ingekuwa haina siasa za kikabila, mgekuwa na shida kama hii unaiona Tanzania, South Africa, Zimbabwe Ethiopia Rwanda Uganda na baadhi ya nchi za Africa. Vyama vya siasa vingekuwepo lakini agenda zingekuwa chache kiasi kwamba watu wanaamua kukaa na chama walicho kizoea siku nyingi.
 
The problem is, its easy to point finger without knowing the root course Tanzanian multi party politics. CCM wamekua hapo sio kwasababu vyama vingine vimeshindwa kujiendeleza mpaka vika aminika kwa Watanzania wengi, majority of Tanzanian hajaona alternative to CCM so far. Hivi vyama vimekuwepo ulingoni for more than 20 years. Kama walikuwa wanayimwa uhuru all that time wasinge simama kwenye any election. Leo hii waulize wana wanachama wangapi? CCM women wing alone ina wanachama wengi kuliko Chadema. Last election CCM filed Candidates on all constituency countrywide including Zanzibar, ask opposition if the did the same, so there no miracles there.

kitu ambacho kina fanya kenya kuna makundi makubwa ya kisiasa ni ukabila, makundi mengi yamejijenga kutikana na ngome za kikabila. Kama Kenya ingekuwa haina siasa za kikabila, mgekuwa na shida kama hii unaiona Tanzania, South Africa, Zimbabwe Ethiopia Rwanda Uganda na baadhi ya nchi za Africa. Vyama vya siasa vinge kuwepo lakini agenda zingekuwa chache kiasi kwamba watu wanaamua kukaa na chama walicho kizoea siku nyingi.
very true...kenya is far from perfect...we have alot of foolish idiots...ukabila umezidi...na ndio maana umeona watu kadhaa wakifanya protests kule Mathare, Kisumu etc...ukabila ni shida kubwa sana...
 
Back
Top Bottom