Kwanza rais si kazi yake kutafsiri sheria, katika mihimili ya state muhimili wenye kazi ya ku interpret sheria ni judiciary, na judiciary imesema mgombea binafsi ruksa, halafu kuna huu utumbo mwingine unakuja hapa kwamba michango yote ni lazima itoke chamani.
Na ni lazima iende chamani!! hakuna kumchangia tena mgombea mwenyewe na wagombea hawaruhusiwi kuwa na fundraising zao wenyewe at least within miezi mitatu kuelekea uchaguzi!
nimeisoma.. ndio maana nimeuliza... siulizi kutoka hewani! Yaani, mtu mmoja tunampa madaraka ya kuamua nini kinafanyika kwenyejimbo? Hivi huoni kuwa unintended consequences zitasababisha baadhi ya majimbo kutengewa fedha zaidi na hilo la "etc" ndio linandokeza discretion kubwa ambayo tunataka kumpa mtu mmoja. Sheria haiweki kanuni hasa ya kugawa hizo fedha kwa wagombea au kwa jimbo. Kuna majimbo yatapata zaidi (maana yake wagombea wake watakuwa na uhuru mkubwa wa kujitangaza, na majimbo mengine yatakuwa na fedha kidogo na matokeo yake yanaweza kutabiriwa)?
Huoni kwamba katika misingi hiyo the incumbent atakuwa na unfair advantage?
Unapokubali kuwa serikali iweke mipaka ya kiasi kinachoweza kutumika kwenye jimbo, je uko tayari kuona serikali ikiweka mipaka idadi ya magari, vipeperushi, matangazo ya radio, tV n.k ambayo chama kinaweza kuyafanya kwenye jimbo ili kuleta uwiano? Je huoni kuwa inatishia uhuru wa kujieleza?
Hakuna jipya hapa bila ya kubadilisha sheria ya ruzuku kwa vyama vya siasa na kwenda kwenye uchaguzi kwa usawa kwa kila chama na pia kama kweli basi kila chama kipate ruzuku sawa maana haitakuwa na maana yoyote ile hapa
Vipi kama mimi sina chama na ninataka ku exercise constitutional rights zangu za kugombea katika uchaguzi kama ilivyopitishwa na mahakama?
He just did.Rais anataka kubishana na mahakama?
Vipi kama mimi sina chama na ninataka ku exercise constitutional rights zangu za kugombea katika uchaguzi kama ilivyopitishwa na mahakama?
Rais anataka kubishana na mahakama?
Na mahakama hiyo inaweza kufanya hivyo kwa kupata rufaa tu....Okay"Kwa kuwa hili ni jambo la kikatiba na kwa kuwa ni jambo zito, tunakata rufaa kwa sababu pia tunataka mahakama ya juu kuliko zote (yaani mahakama ya rufaa) ndio ilitolee uamuzi."
You are not welcome anyway.. they don't even think of your existence nor of your so called "rights".. Lol
He just did.
Trust me you are just complicating things here!!! provided the limit applies to all parties that is fair!!! hapa sio mbinguni mkuu... ndio maana wewe uko America mimi niko Bububu...
Anyway can you be gentleman kwa kusema haya sio ya JK please... b'se you always want to consider him as he never think... can you please say that right here!!!
Kiranga,
Muna matatizo ya kusoma vitu nusu nusu!!! hili jambo serikali ililieleza vizuri... naomba niwa-quote though sio exactly they way the said
Na mahakama hiyo inaweza kufanya hivyo kwa kupata rufaa tu....Okay
Kiranga,
Muna matatizo ya kusoma vitu nusu nusu!!! hili jambo serikali ililieleza vizuri... naomba niwa-quote though sio exactly they way the said
Na mahakama hiyo inaweza kufanya hivyo kwa kupata rufaa tu....Okay
Only if unashindanisha timu za kiwango kimoja am I right? sio Primier na Daraja la nne... mzee umeamka je leo?NI sawa na kusema ati timu zote zitapewa fedha za kushiriki mashindano, halafu unasema kiwango cha fedha kitategemea wingi wa ushindi wa timu hizo hadi hivi sasa! Kwa maneno mengine timu zilizoshinda zaidi zitapata zaidi.. to you thats fair!
[/SIZE]
Josh Michael... kuna vitu viwili tofauti hapa na we need to be clear.
Ni upuuzi mkubwa kwamba chama chenye mbunge mmoja kipewe 100TSh. na chama chenye wabunge 200 kipewe 100TSh... yaani hapa panaonyesha ugonjwa wa Hesabu umeenda mpaka bungeni na kwenye vichwa vya viongozi wetu...
Uwiano ni mzuri sana maana CHADEMA ikipata wabunge 200, they will get their deserved share ... easy ....
Ati leo nikianzisha chama kikawa na wafuasi 200x 8mikoa = 1,600members- nipewe ruzuku sawa na chama chenye wafuasi mil. 3. au 4... does this make sense.
Dawa kuwa na sera nzuri convince watanzania uwe na wafuasi wengi and then wabunge wengi u will have lion share... easy.
Only if unashindanisha timu za kiwango kimoja am I right? sio Primier na Daraja la nne... mzee umeamka je leo?
tatizo siyo timu za kiwango kimoja; kwani hicho kiwango kinaamuliwa na timu iliyoshinda mechi nyingi. Sasa sijui wewe ulilalaje leo?
tatizo siyo timu za kiwango kimoja; kwani hicho kiwango kinaamuliwa na timu iliyoshinda mechi nyingi. Sasa sijui wewe ulilalaje leo?
it just doesn't make sense ukipe chama cha familia TZS100 na chama chenye real wanachama same amount... wajanja wangeanzisha vyama... sasa tungekuwa na elfu mbili....