aha!! kumbe tatizo ni kuwa chama chenye "real wanachama" hakina wanachama wa familia.. yawezekana wenzetu definition yao ya "familia" ni pana zaidi kuliko ya kile chama cha "familia"!!!
Sasa nawauliza tena swali la mwisho, munajua kwamba sasa hivi bila kubadilisha katiba ya jamhuri kuweka mgombea binafsi ni kuvunja katiba hiyo hiyo? kwa kuwa kuna kifungu ndani ya katiba hiyo hiyo kinachosema wagombea wa ubunge, urais etc lazima watokane na vyama...
They have had almost 10 years to comply. They simply staunchly stubborn bunch of corrupt pseudo leaders!Na ndio Marmo alisema even if they want to comply they will need to change the current constitution..
. Mwanakijiji what is your take on this?
Kama nilivyokuambia mkuu sikuwezi ku-spin... hoja umeipata umeamua kutafuta sehemu ya kutokea... poa mkuu.
Respect
Kasheshe
you could not have said it more plainly and better.. the whole Act is intended to lift CCM as the only de facto political party in the country.I can't believe that people are actually supporting this monopolistic totalitarian domination by the hideous CCM political machinery.
you could not have said it more plainly and better.. the whole Act is intended to lift CCM as the only de facto political party in the country.
Na matokeo yake angalieni jinsi CCM itakapoanza harambee za kuchangia chama mtashangaa!!! Kikwete ataenda kwenye ziara ya kirais huku jioni anafanya changizo la chama, the same ya Waziri Mkuu, Makamu, Mawaziri, n.k I cry for my country!
CHADEMA imefanya kila linalowezekana ilipotoka kwa mara ya kwanza kabisa kabla haijaenda Bungeni,wakabadilisha vitu vidogo vidogo visivyokuwa na effect kubwa,siku ya kupitsiha bungeni Dr Slaa na Cheyo walipambana kufa kupona mwisho wa siku ikapita,ndio athari ya chama kimoja kuwa the majority Bungeni..Rais naye akadai atausaini bila mjadala wa ziada...Mimi naupingaaaaaaaaaaaaaaaaa
... Chadema .... hawawezi kufanya yote yanayowezekana kwa sababu ni waoga kurock the boat!
hata kama wasingekuwa waoga, asilimia isingetimia.
Faida ya kupata wabunge wengi kutoka upinzani inapokuwa effective. Si kugombea urais ilhali unajua huwezi kupata hata robo ya kura.
huwezi kupata wabunge wengi wakati tayari sheria imetungwa kuhakikisha inapendelea chama chenye wabunge wengi tayari.
.......
....
b. Michango ya zaidi ya milioni 1 (mtu binafsi) na milioni 2 (taasisi) lazima itangazwe kwa msajili. Wangapi watapenda wajulikane wamechangia kiasi kikubwa kwa upinzani. Kwa CCM huoni itakuwa ni fahari kushindana kujulikana nani amechangia nini? ....
Kwani ili kupata kura lazima uwe na yote haya? Tunafanya barter trade ya pesa na demokrasia sio?
Kama mpigananji wa ukweli huwezi kuogopa kujulikana umechangia bei gani kwa chama cha upinzani. Si hatari nzi kufia kidondani.
Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Haiwezekani kupata demokrasia na uhuru wa kweli bila kuipigania, na wengine wetu kusacrifice mali zetukwa ajili ya kizazi kijacho.
Way forward, there is a need to brainstorm on how to go with this matter. Sio kuweka silaha chini na kuanza kulia kwamba tumeliwa.
.... na mojawapo ya ghaarama ni kupinga sheria mbovu kama hizi na kuziita kwa jina lake, ..... Sheria hii na sheria nyingine kama hizi haziitaji kuwepo katika demokrasia yetu. Zinahitaji kupingwa kwa nguvu zote siyo kuwa accommodated.
Ndio zinahitaji kupingwa, how? Kwamba kila mtu aamke toka alipo lala na aanze kuzipinga kivyake vyake? If not what is the starting point. Isnt there a need for some brainstorming on a way forward?
I think this is what we have been doing slowly.. badala ya kudandia bandwagon ya kuwashangilia..ndio tunaanza kupinga hapa..
Toka bungeni walijua kwamba muswada unapingwa. Halima alipiga sana kelele, walimsikia though wakiwa wamefumba macho.
Now muswada umepita, na inajulikana wazi kuwa muswada umefavour wanasiasa wa cham tawala, je hakuna strategy ya kutafuta ushidi kwa wabunge bali kuendelea kupinga muswada hapa?
Wakati tunaanza kuupinga muswada hapa slowly, muda unakwenda fast kuelekea uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka huu. March hiyo inaondoka.
huwezi kupata wabunge wengi wakati tayari sheria imetungwa kuhakikisha inapendelea chama chenye wabunge wengi tayari.
Utawezaje kupata wabunge wengi ikiwa:
a. Michango yote itolewe kwa chama
b. Michango ya zaidi ya milioni 1 (mtu binafsi) na milioni 2 (taasisi) lazima itangazwe kwa msajili. Wangapi watapenda wajulikane wamechangia kiasi kikubwa kwa upinzani. Kwa CCM huoni itakuwa ni fahari kushindana kujulikana nani amechangia nini?
c. Waziri wa CCM ndiye anaamua kiasi cha juu cha matumizi ya chama chochote kwenye majimbo yote?
d. Wagombea hawaruhusiwi kupata fedha moja kwa moja toka kwa masupporters zao. Yeyote anayetaka kuchangia mgombea inabidi achangie chama cha huyo mgombea. Ana uhakika gani fedha yake itamuendea mgombea wake badala ya ya mgombea mwingine?
Hamna lolote.. remember nilikuuliza nini mara ya kwanza juu ya hili? Chadema hawakufanya yote yanayowezekana kuupinga mswada huo na hawawezi kufanya yote yanayowezekana kwa sababu ni waoga kurock the boat!
Can you prove kwamba CHADEMA hawajafanya lolote linalowezekana na hawawezi kufanya lolote kuhusiana na hii bill?Mwanakijiji be serious.
can one prove the obvious?