Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Baada ya kugundua magonjwa sugu yatokanayo na uchafu wa mazingira kuongeza idadi ya wagonjwa kila mwaka na kugharimu serikali sana katika tiba. Suluhisho ni kupunguza vyanzo vya uchafuzi wa hali ya hewa. Petrol na diesel kikiwa chanzo kikubwa cha uchafuzi huo.
Magari ya umeme ndiyo habari ya mjini na ukinunua gari hii unapata punguzo la kodi kutoka serikalini.
Huko tuendako mafuta ya Mwarabu hayatakuwa black gold ila black silver.
Changamoto kubwa ya kuwa na gari la umeme kwa sasa ni kuwa top up stations bado ni chache na mafundi waliosomea technology ya magari haya bado ni wachache mno.
Vijana electronic car mechanics ndiyo mpango mzima kwa sasa.
Swali; haya magari ya petrol na diesel yatakwenda wapi?