Electric cars is now a way forward in the Western World

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1060738

Baada ya kugundua magonjwa sugu yatokanayo na uchafu wa mazingira kuongeza idadi ya wagonjwa kila mwaka na kugharimu serikali sana katika tiba. Suluhisho ni kupunguza vyanzo vya uchafuzi wa hali ya hewa. Petrol na diesel kikiwa chanzo kikubwa cha uchafuzi huo.

Magari ya umeme ndiyo habari ya mjini na ukinunua gari hii unapata punguzo la kodi kutoka serikalini.

Huko tuendako mafuta ya Mwarabu hayatakuwa black gold ila black silver.

Changamoto kubwa ya kuwa na gari la umeme kwa sasa ni kuwa top up stations bado ni chache na mafundi waliosomea technology ya magari haya bado ni wachache mno.

Vijana electronic car mechanics ndiyo mpango mzima kwa sasa.

Swali; haya magari ya petrol na diesel yatakwenda wapi?
 
Waarabu sasa jeuri yao kwisha!!!! inabidi wabadilike sasa wajue jembe linashikwaje tofauti na hapo utasikia UN itatangaza kizazi lilicho hatarini kupotea kwenye uso wa dunia
 
Dubai wanategemea utalii na biashara nyingine, wameshaliona hilo.
 
View attachment 1060738

Baada ya kugundua magonjwa sugu yatokanayo na uchafu wa mazingira kuongeza Ida’s I ya wagonjwa kila mwaka na kugharimu serikali sana katika tiba. Suluhisho ni kupunguza vyanzo vya uchafuzi wa hali ya hewa. Petrol na diesel kikiwa chanzo kikubwa cha uchafuzi huo.

Magari ya umeme ndiyo habari ya mjini na ukinunua gari hii unapata punguzo la kodi kutoka serikalini.

Huko tuendako mafuta ya Mwarabu hayatakuwa black gold ila black silver.

Changamoto kubwa ya kuwa na gari la umeme kwa sasa ni kuwa feeling stations bado ni chache na mafundi waliosomea technology ya magari haya bado ni wachache mno.

Vijana electronic car mechanics ndiyo mpango mzima kwa sasa.

Swali; haya magari ya petrol na diesel yatakwenda wapi?
Acha kukariri,mafuta yanatumika kwenye magari tuu? hivi unajua kua hii biashara ya mafuta wanaofaidika nayo zaidi ni huyo US na wengine? unadhani hao wanaofaidika nayo wanaweza kukubali hii kitu itokee? Moderator unganisheni huu uzi maana umo humu na tulijadili sana hii kitu.
 
Sijakuelewa hapo "feeling stations". Kila kitu kina enzi yake, zamani tulikuwa na treni zilizokuwa zinatumia makaa ya mawe, kuni sasa hivi sidhani kama technolojia hiyo bado inatumika kibiashara.

Wazalishaji wa mafuta wanatakiwa ukutafuta vyanzo mbadala vya mapato, miaka 50 hivi ijayo nafikiri matumizi ya mafuta yatakuwa yamepungua Kwa mpango huo.
 
Hii technology itachukusvmuda kutufikia Afrika, hata hivyo huko vijijini ratio yacwamiliki magari si kubwa
 
Ni kweli Kwa nchi zetu za ulimwengu watatu itachukua muda sana kuja kuyatumia hayo magari.
Hii technology itachukusvmuda kutufikia Afrika, hata hivyo huko vijijini ratio yacwamiliki magari si kubwa
 
Mbona pikipiki za umeme zimezagaa tu mtaani? Tuendelee kusubiria used!
Walioleta hiyo teknolojia ndio watakaofaidika na biashara ya vituo vya kuziongezea umeme betri za hayo magari.
 
Waarabu sasa jeuri yao kwisha!!!! inabidi wabadilike sasa wajue jembe linashikwaje tofauti na hapo utasikia UN itatangaza kizazi lilicho hatarini kupotea kwenye uso wa dunia
Hii ni moja ya lengo kuu kwenda kwenye umeme.
 
Back
Top Bottom