ELECTRICAL ENGINEERS NEEDED

ELECTRICAL ENGINEERS NEEDED

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,087
Reaction score
3,156
Nahitaji Graduate Electrical Engineers wa mwaka jana. Hawa wenye reg. 2018-04-....

Naomba unitumie CV yako na vyeti pia kama ukiweka na application letter ni nzuri pia..

Eneo la kazi ni KAGERA SUGAR LIMITED

hamna idadi kamili inayoitajika, ni wale wataokuwa na sifa watajibiwa.. uonapo ujumbe, mtaarifu na mwezio hasie na mchongo

Email ya kutuma ni
fredrick.mwesigwa@kagera-sugar.co.tz
 
Mimi mhitimu wa diploma ya civil engineering mkuu ninaweza kupata kazii kwenye kiwanda chenu.
 
Nahitaji Graduate Electrical Engineers wa mwaka jana. Hawa wenye reg. 2018-04-....

Naomba unitumie CV yako na vyeti pia kama ukiweka na application letter ni nzuri pia..

Eneo la kazi ni KAGERA SUGAR LIMITED

hamna idadi kamili inayoitajika, ni wale wataokuwa na sifa watajibiwa.. uonapo ujumbe, mtaarifu na mwezio hasie na mchongo

Email ya kutuma ni
fredrick.mwesigwa@kagera-sugar.co.tz
Hili tangazo mbona limekaa kitapeli Sana kila sehemu linapostiwa ni watu wanatafuta vyeti vya watu Hawa na vikatumike tofauti
 
  • Thanks
Reactions: Avs
Yaani hata huwezi kutumia hiyo email kama uthibitisho,ama huelewi confidentiality ya email?,sasa tukae nalo kwani ni mke huyo.?
 
Back
Top Bottom