TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Nahitaji Graduate Electrical Engineers wa mwaka jana. Hawa wenye reg. 2018-04-....
Naomba unitumie CV yako na vyeti pia kama ukiweka na application letter ni nzuri pia..
Eneo la kazi ni KAGERA SUGAR LIMITED
hamna idadi kamili inayoitajika, ni wale wataokuwa na sifa watajibiwa.. uonapo ujumbe, mtaarifu na mwezio hasie na mchongo
Email ya kutuma ni
fredrick.mwesigwa@kagera-sugar.co.tz