Lapa unaenda kupiga interview wapiHabari wana jf lengo na mazumuni ya uzi huu nikuwasaidia wale waliosoma fani ya umeme ambao wana pambana kupata ajira katika taasisi mbali mbali kutokana na kadayao kufaulu iterview,
Hivyo kwa wale wote ambao wana uzoefu na maswali yanayo ulizwa katika interview za kada ya ufundi umeme pasipo kujalisha daraja la ufundi nawakaribisha hapa kutiririsha maswali ambayo mmeshawahi kukutananayo .
KARIBUNI SANA
TANROADLapa unaenda kupiga interview wapi
Kila la kheri mwamba.Wadau bila shaka watakupa ushirikiano katika harakati za kutafuta ugali.TANROAD