Electrical interview question and answer

Electrical interview question and answer

Lapa

Member
Joined
May 9, 2024
Posts
20
Reaction score
40
Habari wanaJF

Lengo na madhumuni ya uzi huu nikuwasaidia wale waliosoma fani ya umeme ambao wana pambana kupata ajira katika taasisi mbali mbali kutokana na kadayao kufaulu iterview.

Hivyo kwa wale wote ambao wana uzoefu na maswali yanayo ulizwa katika interview za kada ya ufundi umeme pasipo kujalisha daraja la ufundi nawakaribisha hapa kutiririsha maswali ambayo mmeshawahi kukutananayo.

KARIBUNI SANA
 
Habari wana jf lengo na mazumuni ya uzi huu nikuwasaidia wale waliosoma fani ya umeme ambao wana pambana kupata ajira katika taasisi mbali mbali kutokana na kadayao kufaulu iterview,
Hivyo kwa wale wote ambao wana uzoefu na maswali yanayo ulizwa katika interview za kada ya ufundi umeme pasipo kujalisha daraja la ufundi nawakaribisha hapa kutiririsha maswali ambayo mmeshawahi kukutananayo .
KARIBUNI SANA
Lapa unaenda kupiga interview wapi
 
Back
Top Bottom