The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,389
- 6,665
Ukisoma comment utaona mtu anakuja na majibu ya mzungu kubishana na jamaa, na jamaa amekuja kivyavyake sasa wewe waleta ubishi wa mwenzako ambao sio wako na kuufanya uwe wakoMr president maono yako ni makubwa sana kwa nchi. Akili ndogo watabisha kuwa haiwezekani ila sisi wenye Imani kubwa kwako tunakuunga mkono. Na utakaposhika hatamu mimi nikiwa kama katibu wako binafsi nitahakikisha jambo hili na mengi makubwa na mazuri yanatekelezeka.
Tumechelewa sana.
ExactlyUkisoma comment utaona mtu anakuja na majibu ya mzungu kubishana na jamaa, na jamaa amekuja kivyavyake sasa wewe waleta ubishi wa mwenzako ambao sio wako na kuufanya uwe wako
D nne huweza linganisha na A+ kwenye ufikiri
Sure kabisa wakisema NASA ni rahisi mno sisi kuunga tela, ni kweli si rahisi kwa haraka haraka kuliona hilo kuwezekana ila kila kitu naamini kinawezekana. Wazo zuriSubiria NASA waseme inawezekana ndo uunge tela
Purpose yake ni nn?Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengenezwa electric motor ambazo zitakuwa zina-speed zaidi ya mwanga na zitakuwa zinatumiwa na rockets
Ni ukweli kwamba technology ya sasa ya electric motor haiwezi kufikia speed ya mwanga, as Technology grow nakuhakikishia electric motor ina-uwezo wa kuwa na speed zaidi ya mwanga
Tunafahamua kabla ya hii humanoid project kulikuwa na project iliyotutangulia kwenye hii project walikuwa na technologies kubwa sana moja wapo ni uwezo wa kusafiri kutoka Mercury mpaka Pluto ndani ya mda mfupi
Lengo ni kurudisha hii technologies iliyokuwepo kabla ya humanoid project
View attachment 3366855
na friction force utadili nayo vipi?? ko icho chombo kinawezq pita kwa glass bila kukipasua ?? maana mwanga haupasui glass sababu ya speedNikiwa Rais wa Tanzania kutatengenezwa electric motor ambazo zitakuwa zina-speed zaidi ya mwanga na zitakuwa zinatumiwa na rockets
Ni ukweli kwamba technology ya sasa ya electric motor haiwezi kufikia speed ya mwanga, as Technology grow nakuhakikishia electric motor ina-uwezo wa kuwa na speed zaidi ya mwanga
Tunafahamua kabla ya hii humanoid project kulikuwa na project iliyotutangulia kwenye hii project walikuwa na technologies kubwa sana moja wapo ni uwezo wa kusafiri kutoka Mercury mpaka Pluto ndani ya mda mfupi
Lengo ni kurudisha hii technologies iliyokuwepo kabla ya humanoid project
View attachment 3366855
Ndio inawezekana vizuri tuna friction force utadili nayo vipi?? ko icho chombo kinawezq pita kwa glass bila kukipasua ?? maana mwanga haupasui glass sababu ya speed
Kurahisisha safari kati ya sayari moja na nyingine ifanyike kwa mda mfupi sanaPurpose yake ni nn?
kuna tatizo mahalaNdio inawezekana vizuri tu
Uzuri mmoja kila jambo litawekwa wazi kwenye huu uzi
Wewe subiri siku wazungu waseme inawezekana ndo uunge telakuna tatizo mahala
kafanye research upyaKurahisisha safari kati ya sayari moja na nyingine ifanyike kwa mda mfupi sana
Kwa speed hiyo ikitokea chuma ikafeli brake mtaenda kupotelea Black Hole.Safi hapo lazima tuende kulewa huko Pluto Mr prezidaa.
Mimi au wewekafanye research upya
Ndo maana nimekuuliza unadhani 2500 kutakuwa sawa na leo???Kwa speed hiyo ikitokea chuma ikafeli brake mtaenda kupotelea Black Hole.
Wapi wewe ukikaa tu kwenye chiti cha enzi ndoto zako zote zinayeyuka na tumbo linaanza kukuuliza "boss tunaishije sasa"Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengenezwa electric motor ambazo zitakuwa zina-speed zaidi ya mwanga na zitakuwa zinatumiwa na rockets
Ni ukweli kwamba technology ya sasa ya electric motor haiwezi kufikia speed ya mwanga, as Technology grow nakuhakikishia electric motor ina-uwezo wa kuwa na speed zaidi ya mwanga
Tunafahamua kabla ya hii humanoid project kulikuwa na project iliyotutangulia kwenye hii project walikuwa na technologies kubwa sana moja wapo ni uwezo wa kusafiri kutoka Mercury mpaka Pluto ndani ya mda mfupi
Lengo ni kurudisha hii technologies iliyokuwepo kabla ya humanoid project
View attachment 3366855
Sijui mkuu.Ndo maana nimekuuliza unadhani 2500 kutakuwa sawa na leo???
Kuna maroketi ya black holes pia mangiKwa speed hiyo ikitokea chuma ikafeli brake mtaenda kupotelea Black Hole.
Kukosea hata wazungu wanafeli sana yaani mpaka umeona jambo au bidhaa imefanikiwa nyuma yake kuna trial and errors nyingiSure kabisa wakisema NASA ni rahisi mno sisi kuunga tela, ni kweli si rahisi kwa haraka haraka kuliona hilo kuwezekana ila kila kitu naamini kinawezekana. Wazo zuri
Nyi Mnakitu - mtafika mbali.Kuna maroketi ya black holes pia mangi