Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #61
Ukiniita chizi usidhani unanikomoaTatizo lako utafanya ukiwa Raisi na ndio maana unaonekana chizi tuu, anza na project moja hata theory tuu on paper sio kila siku story za kahawa
Impossible = I'm possible.Hio ni impossible,na haipo
Haters kama nyie nawapenda sana kwenye maisha nahitaji haters kama nyie ili nifike mbali zaidiAnaota ndoto nyevu
Maneno mingi tuu and no action, all the bestUkiniita chizi usidhani unanikomoa
Kila mtu Ana njia zake wewe tumia za kwako ulizokaririshwa darasani
Kila kitu kilianzia kwenye maneno idea huwezi anza bila ideaManeno mingi tuu and no action, all the best
Hakika kitu kikubwa ni imagination.Kila kitu kilianzia kwenye maneno idea huwezi anza bila idea
Unaanza na idea inafuata mambo mengine kama equation na formula
Lazima uwe na picha akilini mwako ndo uanze kuifanyia kaziHakika kitu kikubwa ni imagination.
Einstein alishawahi kusema
" the true sign of intelligence is not knowledge but imagination"