peter msuku
Member
- Nov 26, 2017
- 7
- 5
Huna haja ya kuwaza umeme kukatika kwani saan agency tumekuja na suluhisho kwaajili yako. Tutakufungi backup system nyumbani au ofisini kwako kwa teknolojia Bora na salama
Unaweza ukajiuliza
➡️INAFANYAJE KAZI?
➡️KWANINI NITUMIE BACKUP SYSTEM?
➡️INAFAIDA GANI?
Well kuna namna mbili za ufanyaji kazi Kwanza umeme unapokuwepo unakuwa unachaji backup system then unapokatika ndipo system inajiactivate kwakua ilikua inachajiwa.
Yapili Ni kutumia solar panels tunakufungia solar panels zitakazo chaji battery pindi umeme unapokatika zinaanza kufanya kazi.
Karibu Sana saan agency tupigie kwa namba 0764955696.
Tuko dar es salaam, Temeke