Electricity backup system

Electricity backup system

peter msuku

Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
7
Reaction score
5
IMG_20220804_012244_668.jpg

Huna haja ya kuwaza umeme kukatika kwani saan agency tumekuja na suluhisho kwaajili yako. Tutakufungi backup system nyumbani au ofisini kwako kwa teknolojia Bora na salama

Unaweza ukajiuliza

➡️INAFANYAJE KAZI?
➡️KWANINI NITUMIE BACKUP SYSTEM?
➡️INAFAIDA GANI?

Well kuna namna mbili za ufanyaji kazi Kwanza umeme unapokuwepo unakuwa unachaji backup system then unapokatika ndipo system inajiactivate kwakua ilikua inachajiwa.

Yapili Ni kutumia solar panels tunakufungia solar panels zitakazo chaji battery pindi umeme unapokatika zinaanza kufanya kazi.

Karibu Sana saan agency tupigie kwa namba 0764955696.
Tuko dar es salaam, Temeke
 
View attachment 2313415

Huna haja ya kuwaza umeme kukatika kwani saan agency tumekuja na suluhisho kwaajili yako. Tutakufungi backup system nyumbani au ofisini kwako kwa teknolojia Bora na salama

Unaweza ukajiuliza

[emoji3591]INAFANYAJE KAZI?
[emoji3591]KWANINI NITUMIE BACKUP SYSTEM?
[emoji3591]INAFAIDA GANI?

Well kuna namna mbili za ufanyaji kazi Kwanza umeme unapokuwepo unakuwa unachaji backup system then unapokatika ndipo system inajiactivate kwakua ilikua inachajiwa.

Yapili Ni kutumia solar panels tunakufungia solar panels zitakazo chaji battery pindi umeme unapokatika zinaanza kufanya kazi.

Karibu Sana saan agency tupigie kwa namba 0764955696.
Tuko dar es salaam, Temeke
Msuku,

Tangazo lako halieleweki. Andika vyema tena.

May be...

Tunafunga backup system

1. Battery only ambayo itakua inachajiwa na umeme wa Tanesco, inadumu kwa masaa kadhaa baada ya umeme kukatika kwa idadi kadhaa ya battery.

2. Tunakufungia solar system kuanzia battery kadhaa au pannel kadhaa and blah blah...

Bei?

Hapo kwenye mchoro kuna generator ila kwenye maelezo hakuna...
 
Back
Top Bottom