Mtu akikiitaji atakipataje na ni kwa gharama gani?:confused2:
Huwa navutiwa sana na project za ki-electronic lakini kwenye kusketch electronic circuit kwenye bread board nilibroh...,nafkiri hiki kifaa kinaweza kusaidia
Unaweza kuletewa ukihitaji.
mleta mada pongezi na hongera kama nilicho kiona ktk picha na ktk youtube link ni kazi ya mikono yako.ila kama si wewe,nitakuchukulia kama msimulizi wa kawaida kama maprofesa wa taaluma za kisayansi/uandisi pale UDSM.mana nao huwa hawaundi bali ni kupiga domo tu.