Electronic engineering ? Unataka kuwa innovative ?

Electronic engineering ? Unataka kuwa innovative ?

Miunda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
530
Reaction score
182
Vijana wengi wamesoma wameelimika lakini wanashindwa kuwa na vitu kama hivi ili kuweza kupata create ideas zao katika mambo ya ki technology.

Hii ni router ambayo unaweza kutengeneza electronic board.
 
Cnc router
 
Attachments

  • 1418481056416.jpg
    1418481056416.jpg
    43.9 KB · Views: 173
  • 1418481070831.jpg
    1418481070831.jpg
    23.4 KB · Views: 161
  • 1418481078991.jpg
    1418481078991.jpg
    28.8 KB · Views: 149
  • 1418481087869.jpg
    1418481087869.jpg
    109.9 KB · Views: 149
Mtu akikiitaji atakipataje na ni kwa gharama gani?:confused2:

Huwa navutiwa sana na project za ki-electronic lakini kwenye kusketch electronic circuit kwenye bread board nilibroh...,nafkiri hiki kifaa kinaweza kusaidia
 
Hicho kifaa una connect na pc 💻 yaani computer, unauwezo wa kutengeneza circuit board kama hapo kwenye picha,hizi cnc router zipo za aina mbalimbali mbali, nyengine za wood yaani mbao, nyengine chuma,unaweza kuchonga chuma na vitu vyengine kama plastic na nk.

Hizi zinapatikana China, Thailand, Europe, American, ulimwengu mzima, ni very expensive, unaweza kuipata bei Kuanzia 2.5 milioni.
Milioni mbili na nusu, au chini ya hapo au zaidi.
 
😀 hivi ni moja ya kazi ya cnc router.
 
Attachments

  • 1418588400299.jpg
    1418588400299.jpg
    22.3 KB · Views: 92
  • 1418588409268.jpg
    1418588409268.jpg
    86.7 KB · Views: 79
  • 1418588427742.jpg
    1418588427742.jpg
    22.1 KB · Views: 95
  • 1418588437008.jpg
    1418588437008.jpg
    45 KB · Views: 79
  • 1418588449928.jpg
    1418588449928.jpg
    107.9 KB · Views: 87
  • 1418588459811.jpg
    1418588459811.jpg
    43.1 KB · Views: 89
  • 1418588469960.jpg
    1418588469960.jpg
    15.4 KB · Views: 83
  • 1418588478921.jpg
    1418588478921.jpg
    35.5 KB · Views: 77
Mtu akikiitaji atakipataje na ni kwa gharama gani?:confused2:

Huwa navutiwa sana na project za ki-electronic lakini kwenye kusketch electronic circuit kwenye bread board nilibroh...,nafkiri hiki kifaa kinaweza kusaidia

Unaweza kuletewa ukihitaji.
 
mleta mada pongezi na hongera kama nilicho kiona ktk picha na ktk youtube link ni kazi ya mikono yako.ila kama si wewe,nitakuchukulia kama msimulizi wa kawaida kama maprofesa wa taaluma za kisayansi/uandisi pale UDSM.mana nao huwa hawaundi bali ni kupiga domo tu.
 
Ju

Sio kazi yangu, nimewaletea ili mupate kuelewa, nchi zilizo endelea kama China na America na ulaya, Asia, vijana wakishapata skills, huwa na vitu kama hivi na hujiajiri wenyewe, hio cnc router ina uwezo kwa kutengeneza hata housing ya simu kwa kutumia plastic material,kutoa nakshi ubao, hata kuchonga coins kama pesa,na n.k Una change bit tu.

Hi ni mfumo wa robot, nyengine ambazo za manufacturer huwa zina tia welding.
 
Back
Top Bottom