Electronic passports: Tanzania vs Kenya

Electronic passports: Tanzania vs Kenya

Hiyo ya Kenya ipo kama karatasi ya wakimbizi huwezi linganisha na Tanzania passport yetu ina mpaka application yake playstore unakua na hard-copy passport na softy copy passport kwenye smartphone yako na zote zinapiga mzigo sasa hiyo ya Kenya utafikiri kitambulisho cha kupokelea chanjo ya kifaduro
Kenya = 6th most powerful passport in africa after SA,Seychelles,Mauritius,Namibia,Botswana...

Kwa kifupi, passport ya kenya iko na heshima zaidi ukitembea nayo kuliko passport ya Tanzania,hata ukaivalisha shangili za gold na diamond bado haitakisafirisha kama passport ya kenya
 
Uongo mtupu yetu ipo cheaper zaidi ya kwenu japo yetu ni modern zaidi na multifunctional.

Kitendo cha kuscan passport yako tayari instantly

TANZANIA REVENUE AUTHORITY
TOURISM MINISTRY
POLICE TANZANIA
INTERPOL
HOME AFFAIRS
TANZANIA BUREAU OF STATISTICS
TANZANIA DATA CENTER

wote hawa watakua wameshapata taarifa zako zote kwa pamoja kwa wakati huo huo online, hii ipo Kenya?
Tafuta taarifa yoyote itakwambia rollout ya kenya passport will cost only $5m, hata hio ripoti hapo juu inasema hivyo...

Alafu uache ushamba, android app ni kitu ndogo sana, hata 2nd year wa university anaweza kutengezea bora umconnect na API ya passport
 
Kenya = 6th most powerful passport in africa after SA,Seychelles,Mauritius,Namibia,Botswana...

Kwa kifupi, passport ya kenya iko na heshima zaidi ukitembea nayo kuliko passport ya Tanzania,hata ukaivalisha shangili za gold na diamond bado haitakisafirisha kama passport ya kenya
Hata ya Tanzania ipo juu, hii HID global iliyotengeneza hii passport ya Tanzania ndio leading passport manufacturer in the world, ni number 1 so baada ya passport yetu kuwa na hizo sifa mpya lazima utakua number one in africa sidhani kama Africa kuna nchi yenye passport kama hii ya Tanzania.
 
Hihihi, doesn't work like that!

Sisi tulichonunua kutoka pakistan ni printing machines pekee,ndio Maana tukatumia $5m. software system ya immigration ambayo unalink na smart chip ya passport tayari tulikua nayo inhouse. Juzi nilikua nimesafiri kidogo, niliporudi napiga laini immigration desk, ikifika wakati wangu muhudumu ananiambia nipite ameshaniona, kawaida hua angalau unaweka kidole kwa machine na anapiga muhuri document... Nikabaki nimeshangaa nitajulikanaje nimerudi kenya? Sije badae nikafywatwa na polisi wakanishika na kunishtaki kwa kuingia kenya kinyume na sheria bila kupigwa muhuri, nikatafuta ofisi flani hapo jkia kabla sijatoka nikamueleza, akaanza kucheka, akaniambia ile camera iko hapo mbele ya immigration desk iko na face recognition software, ikikuscan na ipate picha yako inaconnect na profile yako ya immigration na tayari inajua huyu ni mkenya anarudi kutoka nchi flani,sura yako ikitokea kwa screen kazi yake ni ku click 'yes' na umemalizana immigration,details zote wako nazo. Unavyo zidi kupita pita airport ukisafiri software inaendelea kukujua vizuri mpaka mwishwe ukiingia ndani ya airport terminal kabla hata ya kutoa documnt yoyote, jamaa wa immigration/emmigration wanajua flani ameingia au anatoka. Hii ndo technolojia tuko nayo hata kabla ya smart passport, that means kama uko wanted na INTERPOL facial recognition inakutambua hata kabla hujapeana passport yako
 
Bei yenu ya SGR kila siku inazidi kukaribia ya kenya, bado tu muongeze cost ya train na mwishowe zitakua sawa...

Yaani watz hua mnaliwa na hata hamna idea, mlikua mnaliwa $200million for new passport! Eti mkagundua mnaliwa mkapunguza hadi $57.8million eti mmesave pesa.....

Kenya electronic passport rollout will cost only ksh 500million, that's $5million....
Alafu mazuzu mko na audacity ya kucheka kenya eti tunaibiwa, hii ni ule mda ambao inabidi niseme, 'let the sleeping dogs lie'
Nadhani unetumia $ sign kuchekesha watu tu deep down ubajuwa sio kweli. You can buy brand new 787 dreamliner with kind of money.

Unakosea kusema SGR yetu ni gharama kuliko yenu. Ya Tanzania ni ndefu kuliko ya Kenya, yes in total it will cost more than Kenyan in the tune of $12billion. Lakini cost ya kujenga SGR ina hesabiwa kwa gharama ya per kilometer or per mile. Ya kwenu ni mara mbili ya Tanzania.
 
that's the cost for procuring software only, the cost for rolling the whole exercise with the printing booklets is way higher. Nothing comes cheaper in Kenya the whole cost is over $50 mln yet a very poor technology in comparison to Tanzania's.

Queries over e-passport tender
SATURDAY MAY 9 2015

passport.jpgdone.JPG.jpg

A proud owner displays her passport. The e-passport project is expected to run on a trial basis from July 1, in Nairobi, Mombasa and Kisumu.

In Summary
  • Ministry says procurement strictly guided by existing laws and regulations.
  • Officials directly award the Sh1.5bn e-passport tender to two companies raising fears that money could be lost.

Controversy is brewing in the President’s Office over a Sh1.5 billion e-passport tender after officials directly engaged British firm De La Rue and Pakistani government agency Nadra to do the work.

Questions are now being raised if the taxpayer will get value for money.

The projected budget to buy the e-passport booklets and production software is likely to shoot up from Sh1.5 billion in the first year to Sh5 billion in the third year.

On Saturday, the President’s Office denied that it was done outside the public procurement law by directly engaging the two organisations.

The Interior Ministry’s communication adviser, Mr Mwenda Njoka said that adherence to these “stringent procurement rules applies for e-passports”.

TRIAL RUN

A UK security printing company with a plant in Nairobi, De La Rue, which also prints Kenyan currency, will manufacture the 145,000 booklets.

Nadra (the National Database and Registration Authority), an independent and autonomous agency of the Pakistani Ministry of Interior, will develop the software.

The trial run begins from July 1, and officially get underway on November 1.

Outgoing Interior Permanent Secretary Monica Juma signed the memos appointing a 10-member committee consisting of Mr JP Munywoki (chair), Ms Evelyn Cheluget, Mr Kennedy Okondo, Mr Jacob Thuranira, Mr Peter Kimaile, Mr Kennedy Odhiambo, Mr JK Chetelam, Mr James Gekobe, Mr George Njane and Ms Catherine Iringu, to oversee the process.

“The contracts between the committee and the firm shall be official and business shall be conducted as convened,” said Dr Juma, who has since been nominated to the position of Secretary to the Cabinet.

Kenya first proposed that trials be conducted at three sites in Nairobi, Mombasa, Kisumu and in Nairobi for three months before the contract is signed.

The Nairobi Central Server will be the main place for all the sites. The Nadra team head Schargyar A. Khan has members Shaffig Abdalla, Kashif Igbal and Zulfiqan Ali.

The three-month trial on four sites will cost $174,756 (Sh16.6 million).

The Kenyan team had pitched for only three sites, excluding the central server, but Nadra maintained the Nairobi Central Server System was different from Nairobi, Mombasa and Kisumu.

Queries over e-passport tender
 
Nisar felicitates Nadra on winning e-passport project for Kenya

Shakeel Anjum

ISLAMABAD: Interior Minister Chaudhry Nisar Ali Khan has felicitated Nadra on winning e-passport project for Kenya after being declared successful bidder by the government of Kenya in the tendering process.
The project worth $3 million involves citizen registration including biometric data capture, data verification and validation using Automated Fingerprint Identification System (AFIS) technology and printing and personalisation of e-passport booklets.
Felicitating Nadra over the win, the minister observed that this would not only further cement Pak-Kenya bilateral relations but would also further strengthen Nadra’s credentials at international level in providing quality and reliable registration services to the developing nations and enabling them meet their national and security requirements.
It may be recalled that Kenya’s Machine Readable Passport System (KMRP) has been developed and is being maintained by Nadra since 2007. Whereas, in previous years, Nadra and Kenyan government signed three annual contracts for deployment of five more passport offices and annual support and maintenance of KMRPS.
In February 2015, Nadra participated in the bidding of e-passport production project. Having been declared successful bidder amongst the world’s leading IT firms, Nadra has been invited to sign the contract with government of Kenya.
The e-passport project also involves the establishment of central printing facility and installation of laser engraving printing machines for the production of e-passport. The proposed e-passport shall completely comply with the standards of International Civil Aviation Organisation (ICAO) set for e-passports. The key management system used in the security of the e-passport booklet shall be integrated with ICAO’s public key directory.
It is pertinent to mention here that Nadra had recently developed and delivered Nigerian national identity card system that aimed at delivering a robust national identity management system to assist government of Nigeria in issuance of smart ID cards to its citizens. Last year Nadra implemented civil registration system in Sudan in Arabic language. Other achievements of Nadra include among others driving licensing system for Bangladesh, Sri Lanka ID card project, biometric refugee registration system for UNHCR and World Bank’s poverty score card system.

Nisar felicitates Nadra on winning e-passport project for Kenya
 
Hihihi, doesn't work like that!

Sisi tulichonunua kutoka pakistan ni printing machines pekee,ndio Maana tukatumia $5m. software system ya immigration ambayo unalink na smart chip ya passport tayari tulikua nayo inhouse. Juzi nilikua nimesafiri kidogo, niliporudi napiga laini immigration desk, ikifika wakati wangu muhudumu ananiambia nipite ameshaniona, kawaida hua angalau unaweka kidole kwa machine na anapiga muhuri document... Nikabaki nimeshangaa nitajulikanaje nimerudi kenya? Sije badae nikafywatwa na polisi wakanishika na kunishtaki kwa kuingia kenya kinyume na sheria bila kupigwa muhuri, nikatafuta ofisi flani hapo jkia kabla sijatoka nikamueleza, akaanza kucheka, akaniambia ile camera iko hapo mbele ya immigration desk iko na face recognition software, ikikuscan na ipate picha yako inaconnect na profile yako ya immigration na tayari inajua huyu ni mkenya anarudi kutoka nchi flani,sura yako ikitokea kwa screen kazi yake ni ku click 'yes' na umemalizana immigration,details zote wako nazo. Unavyo zidi kupita pita airport ukisafiri software inaendelea kukujua vizuri mpaka mwishwe ukiingia ndani ya airport terminal kabla hata ya kutoa documnt yoyote, jamaa wa immigration/emmigration wanajua flani ameingia au anatoka. Hii ndo technolojia tuko nayo hata kabla ya smart passport, that means kama uko wanted na INTERPOL facial recognition inakutambua hata kabla hujapeana passport yako

Tanzania has implemented facial recognition technology from Vision-Box at two of its largest airports.

The Tanzania Immigration Department is improving its border control procedures with Facial Matching Systems, which matches information from a travel document with the live capture image of the passenger. The software integrates document authentication and biometric technology to identify fraudulent documents.

The Vision-Box technology is in place at the country’s busiest airports: Kilimanjaro International Airport, in northern Tanzania serving the cities of Arusha and Moshi, and Julius Nyerere International Airport in the largest city, Dar es Salaam.

“We need more of its kind for all our land, air and maritime entry points to combat irregular migration, which is becoming rampant along our borders,” said Commissioner for Border Management and Control Samuel Magweiga.

Vision-Box operates 2,500 Automated Border Control and traveler experience solutions in more than 80 countries, including Rwanda and Angola as well as Tanzania. “It’s a great pleasure to be able to contribute with state-of-the-art technology with a real impact in creating efficiencies, security and an innovative edge for Tanzania and to address the specific challenges of government authorities of the region,” said CEO Miguel Leitmann.

https://www.hstoday.us/briefings/industry-news/tanzania-implements-facial-recognition-airports/

www.ippmedia.com/en/news/govt-introduces-facial-recognition-technology-main-airports

January 28, 2018
28Jan 2018

The Guardian Reporter

News
Guardian On Sunday

Govt introduces facial recognition technology at main airports

THE government has begun using state-of-the-art facial recognition technology at the country's two busiest airports -- Julius Nyerere International Airport (JNIA) and Kilimanjaro International Airport (KIA) -- to improve border control procedures and enhance security.

govt-introduces-facial-recognition-technology-main-airports

The new facial matching systems (FMS) were supplied by Vision-Box, a multinational technology company headquartered in Portugal.

According to Vision-Box, the desktop solution integrates advanced document authentication and biometric recognition features to identify fraudulent travel documents and to detect identity fraud by travelers.

The solution matches the information contained in passports and other travel documents against the live face image capture of the traveler.

Miguel Leitmann, CEO of Vision-Box stated: “Together with other African countries like Rwanda and Angola, Tanzania is now in a reinforced position by adopting Vision-Box automated biometric technology at border controls."

"It’s a great pleasure to be able to contribute with state-of-the-art technology with a real impact in creating efficiencies, security and an innovative edge for Tanzania and to address the specific challenges of government authorities of the region.”

In October last year, the UN Migration Agency (IMO) announced that it has donated four facial matching systems to the Tanzania Immigration Services Department.

The technology is used to identify fraudulent travel documents such as passports, visas and identity cards and to detect identity fraud by travelers trying to enter or stay in the country illegally.

Two other systems were donated to the Holili Taveta One Stop Border Post (OSBP) at the land border between Tanzania and Kenya.

“The donated system is aligned with the current International Civil Aviation Organization (ICAO) standards, recommended practices and specifications on traveler identification management and related inspection systems,” Qasim Sufi, IOM Tanzania Chief of Mission, said last year while donating the technology.

“This system is of paramount importance for an international airport like KIA in today’s increasingly mobile, interdependent and interlinked world, as it will boost its capacity to manage the processing of travel documents efficiently and securely,” he added.

The donations aim to strengthen the technical capacity of immigration officers in Tanzania at both land and air entry points in the country, to address irregular migration and enhance border security, while also adhering to data protection standards, officials said.

MY TAKE
In the two reports above stated aside Tanzania, only Rwanda n Angola is mentioned! Where is the evidence that Kenya has facial recognition technology? Kwenda danganya nyanyako...
 
Bei yenu ya SGR kila siku inazidi kukaribia ya kenya, bado tu muongeze cost ya train na mwishowe zitakua sawa...

Yaani watz hua mnaliwa na hata hamna idea, mlikua mnaliwa $200million for new passport! Eti mkagundua mnaliwa mkapunguza hadi $57.8million eti mmesave pesa.....

Kenya electronic passport rollout will cost only ksh 500million, that's $5million....
Alafu mazuzu mko na audacity ya kucheka kenya eti tunaibiwa, hii ni ule mda ambao inabidi niseme, 'let the sleeping dogs lie'
Hi Kafrican.A bit off topic. I was reading about INTP personality type, which is my own personality type. It may or may not be your personality type, although i suspect you may have that brilliant personality. You can google it out.
 
Hahahaha. Kenya kila siku wanapigwa tu. Yaani wakenya hawajashituka tu? Hawaoni makampuni yanayoajiriwa na serikali?
Hebu tafuta profile za Yapı Merkezi, HID halafu upande wa pili ulete makampuni ya kipaksitani. Mnaweza mkawekewa nuke kwenye passport zenu. Wakiamua kuwaripua faster tu.
 
My dad is got a bigger tool than your dad ,typical Geza post.
 
Mimi ninasomea nchi ya ulaya. Na japo nabeba passport kila mahali ninakokwenda, huwa haina kazi. Labda ninapopatana na polisi anayetaka kuiona passport yangu, na hiyo ni rare kufanyika. Kwa hivyo haijalishi jinsi passport inavyofanana bora ina nembo na jina ya nchi yako na personal details zako na Visa iliyobandikwa mle ndani. Whether passport ya Tanzania ina urembo zaidi kushinda Kenya ni jambo lisilo na maana. Geza grow up
 
Utakujajua soon wale Wakenya wote na wahamiaji haramu itabidi watoe vidhibitisho vya vinasabaha baologia kupenya. Si kazi ya kitoto ati! Huku mifugo inapigwa chapa huku electronic IDs na sasa pasi. Lazma ulinzi uimarike mipakani angalia makala makala za magazeti yenu ujue jinsi mnavyolichukulia suala zima..
 
Nadhani unetumia $ sign kuchekesha watu tu deep down ubajuwa sio kweli. You can buy brand new 787 dreamliner with kind of money.

Unakosea kusema SGR yetu ni gharama kuliko yenu. Ya Tanzania ni ndefu kuliko ya Kenya, yes in total it will cost more than Kenyan in the tune of $12billion. Lakini cost ya kujenga SGR ina hesabiwa kwa gharama ya per kilometer or per mile. Ya kwenu ni mara mbili ya Tanzania.
wp_ss_20180202_0001.png

That stretch translates to $4.7million per km..... Kenya's SGR phase 1 was 5m/km...this included the money used to buy 54 locomotives...and build some 33 stations along the route including some 9 world class major stations.

The journey is not over yet, Tz is buying 14 electric locomotives separately, also there is ICD expansion .... At the end of the day when you add all that and devide by distance
 
View attachment 689215

Ila hizo hesabu za kusema kwenye Bei ya kila kilometre moja wame include cost za locomotive! i find it strange.. so its safe nikisema Wakenya hamjui gharama halisi ya locomotive zenu.

Yani inakua kma mmepewa bonus hivi. Kama ukiweza kunipa link ya taharifa inayosema 5m usd/ 1km ime include locomotive itakua vizuri.
 
View attachment 689215

That stretch translates to $4.7million per km..... Kenya's SGR phase 1 was 5m/km...this included the money used to buy 54 locomotives...and build some 33 stations along the route including some 9 world class major stations.

The journey is not over yet, Tz is buying 14 electric locomotives separately, also there is ICD expansion .... At the end of the day when you add all that and devide by distance
Tanzanian side that is nearly 300 km will be less than $1 bln. Each country will fimance it's section. Rwanda's part will be more expensive as crosses several hills.
 
Back
Top Bottom