Habari wataalamu wa biashara!
Nina wazo la kuanzisha biashara ya vifaa vya umeme pamoja na vyombo vya umeme. Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu anipe mwongozo Kwa upande wa faida na changamoto za hii biashara!
Nipo Kagera- Biharamulo
Naomba kuwasilisha madam!