Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 735
Sababu zinazofanya mwezi usivutwe na kuigonga dunia na wakati huo huo usiache njia yake na kuacha kuizunguka dunia,ndizo hizo hizo zinafanya electrons zisvutwe na kutumbukia ndani ya nukliasi.
Mwendo kasi wa electrons katika kuzunguka nucleus ni mkubwa kiasi cha kufanya electrons zibakie kwenye mzungunguko wa mduara katika eneo lililo mbali na nucleus.
endapo itatokea kwa sababu zozote mwendokasi wa eletrons ukapungua kwa kiwango mahususi ni kweli electrons zote zitatumbukia ndani ya nukliasi.
Nijuavyo mimi si rahisi kwa electrons kutulia kwani nguvu iliyomo ndani ya eletrons ni kubwa sana ukilinganisha na uzito wake. Ili kuisimamisha electron nilazima kuwepo kitu kingine chenye uwezo wa kumeza nguvu yote ndani ya eletron bila kuiathiri.
Vinginevyo zoezi hilo litasababisha eletron kupasuka vipande vipande na kila kipande kubeba sehemu ya nguvu ya eletron ilo pasuka.
Hap somo zima hugeuka na kuwa quantum physics.