Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
Kuna mada ameanzisha huko 'unawakumbuka hawa'Hiyo No. 17, subiri Mzee Mohammed Said akushukie.
Tumemjibu Tunawakumbuka kwa hiyo! Hahahhh nasubiri mahubiri bin masimango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mada ameanzisha huko 'unawakumbuka hawa'Hiyo No. 17, subiri Mzee Mohammed Said akushukie.
Ni kweli aliweka maslahi ya taifa mbele. Huyu wa sasa ameyaweka maslahi mbereKama binadamu wengine tulivyo, alikua na mapungufu yake. Lakini atakumbukwa daima kwa kuweka maslahi ya nchi mbele kuliko yake binafsi.
Ameacha alama kwamba aliwahi kuishi duniani. Najiuliza kila mara, siku nikimaliza safari yangu hapa duniani, ntakumbukwa kwa lipi?