ELEWA kuhusu HESLB.

NingaR

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
2,759
Reaction score
591
Najua vijana wangu macho yote yako kwa HESLB mkisubiri % za mikopo, nataka kuwajuza kua kilicho kua kikisubiliwa ni zoezi la wale walio kosea kujaza form za mikopo ambapo zoezi hilo limeisha rasmi 29/08/2012, so tegemee ni mambo kua wazi siku na saa yeyote kuanzia 1st September.
Pia naomba kuwatoa hofu kuhuzi ile mambo ya "PRIORITY" na "NON PRIORITY" mwaka wa fedha 2012/2013 bodi ya mikopo imepewa fedha za kutosha so naomba muondoe shaka kuhusu mikopo, pia % za mikopo zisiwachanganye vichwa vyenu saana, viwango viko kama ifuatavyo
A=100%
B=90%
C=80%
D=70%
E=60%
F=50%
G=40%
H=30%
I=20%
J=10%
K=0%
Hizi grades za mikopo zisiwape hofu kabisa kwani tofauti yake ipo katika TUITION FEE pekeyake kingine kote ziko sawa ikimaanisha kwanba aliye pata 100% hato lipa ada kabisaa ila aliye pata 10% atalipa 90% ya ada na aliye pata 0% yeye atalipa ada yoote 100% ila feda zingine atapata kama atakavyopata mwenye 100%
Pia ikumbukwe kua kunauwezekani wa kukosa hata hiyo 0% yaani ukapata NIL hapa utajilipia kilakitu hutopata hata sh. 10 toka HESLB.
Mkopo toka HESLB uta cover vitu vifuatavyo
1.TUITION FEE
2.MEALS & ACCOMMODATION CHARGES
3.SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS
4.RESEARCH EXPENSES
5.FIELD PRACTICAL TRAINING EXPENSES
6.BOOKS & STATIONARY EXPENSES
Ikumbukwe kua fedha hutumwa chuoni na wanafunzi husaini form za majina kudhibitisha uwepo wao vyuoni ndo fedha huingizwa katika account ya mwanafunzi husika. Ni hayo tu nduguzanguni

NB:- FEDHA HUCHELEWA KUFIKA VYUONI SO MUONDOKE NA FEDHA YA KUTOSHA KABLA BOOM HALIJATOKA.
 
Wezi hawa Kimburu nyau! wananikata hela yangu kimagumashi, december nawapandia hadi ofisini tutajuana huko huko!!
 
yah atleast umekuja na content ya maana...thanks alot!!!
 
so wamelazimisha watu kuingia ualimu halafu wanasema hakuna mambo ya nani priority? haki ya nani processe ya kujaza kozi upya ianze ili tujijazie kozi tuzitakazo
 
kuna haja ya mwanafunzi kufungua akaunti kabla ya kuliport chuoni?
 
Yeah! Mambo ka hizi ndizo tunazozitaka hapa jf, ahsante sana my college mate.
 
Hja ipo tena kubwa sana, maana hatujui siku wala saa naada ya kuwasili vyuoni hizo account zitahitajika
kwa uzoefu na uelewa wako mara nyingi pesa za mkopo huingizwa kwenye akaunti ya mwanafunzi baada ya kama muda gani?
 
kwa uzoefu na uelewa wako mara nyingi pesa za mkopo huingizwa kwenye akaunti ya mwanafunzi baada ya kama muda gani?

its depends na budget imekaaje na HESLB wamewahi kutuma fedha toka hazini inaweza chukua kati ya 2 weeks up to 3 weeks
 
duh mkopo unaombwaje cz mi sikuomba c kwt tupo vizuri over!
heri yako mkaka...kama hujui jinsi ya kuomba na kwenu mko njema unataka kujua afu iweje!!! We kausha tuache sisis na loan board...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…