NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 591
Najua vijana wangu macho yote yako kwa HESLB mkisubiri % za mikopo, nataka kuwajuza kua kilicho kua kikisubiliwa ni zoezi la wale walio kosea kujaza form za mikopo ambapo zoezi hilo limeisha rasmi 29/08/2012, so tegemee ni mambo kua wazi siku na saa yeyote kuanzia 1st September.
Pia naomba kuwatoa hofu kuhuzi ile mambo ya "PRIORITY" na "NON PRIORITY" mwaka wa fedha 2012/2013 bodi ya mikopo imepewa fedha za kutosha so naomba muondoe shaka kuhusu mikopo, pia % za mikopo zisiwachanganye vichwa vyenu saana, viwango viko kama ifuatavyo
A=100%
B=90%
C=80%
D=70%
E=60%
F=50%
G=40%
H=30%
I=20%
J=10%
K=0%
Hizi grades za mikopo zisiwape hofu kabisa kwani tofauti yake ipo katika TUITION FEE pekeyake kingine kote ziko sawa ikimaanisha kwanba aliye pata 100% hato lipa ada kabisaa ila aliye pata 10% atalipa 90% ya ada na aliye pata 0% yeye atalipa ada yoote 100% ila feda zingine atapata kama atakavyopata mwenye 100%
Pia ikumbukwe kua kunauwezekani wa kukosa hata hiyo 0% yaani ukapata NIL hapa utajilipia kilakitu hutopata hata sh. 10 toka HESLB.
Mkopo toka HESLB uta cover vitu vifuatavyo
1.TUITION FEE
2.MEALS & ACCOMMODATION CHARGES
3.SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS
4.RESEARCH EXPENSES
5.FIELD PRACTICAL TRAINING EXPENSES
6.BOOKS & STATIONARY EXPENSES
Ikumbukwe kua fedha hutumwa chuoni na wanafunzi husaini form za majina kudhibitisha uwepo wao vyuoni ndo fedha huingizwa katika account ya mwanafunzi husika. Ni hayo tu nduguzanguni
NB:- FEDHA HUCHELEWA KUFIKA VYUONI SO MUONDOKE NA FEDHA YA KUTOSHA KABLA BOOM HALIJATOKA.