Elewa kuhusu taaluma au ujuzi wa Programming

jikuTech

Senior Member
Joined
Apr 9, 2023
Posts
108
Reaction score
159
Programming ni nini?

Programming ni kitendo cha kuandika maelezo au kuunda maelekezo au kuunda maelekezo kwa kutumia lugha flani ya kompyuta kwa ajili ya kufanikisha malengo flani

Mafanikio ya mtu anayefanya programming huwa ni kufanya development ya programu ya compyuta.

Unaweza ukajifunza taaluma hii mwenyewe kwa kutumia vyanzo mbalimbali lakini inapendekezwa ili kujifunza kwa haraka kidogo inakuwa inatakiwa sana mtu awe na mwalimu , na kwa nini mwalimu kwa sababu katika kujifunza taaluma hii ni ngumu kidogo kupata uhakika wa usahihi wa kile unacho kuwa unajifunza.

Siyo kama mwalimu yeye anakuwa anajua sana kile anacho kuelekeza hapana kile anacho kuambia mwelekezi wako ni kitu ambacho ukikipitia kwa mapana yake kutokana na uwezo wako wa kupambanua mambo unaweza kuwa bora kumzidi huyo mwalimu .

Mtu anayejifunza programming hupata uwezo wa kutatua matatizo kwa namna mpya na kuboresha uwezo wake wa ubunifu na ufanisi kwenye maisha yake.

Mtu anaye jifunza kompyuta programming yeye ankuwa na uwezo mkubwa sana wa kuelewa mifumo ya kompyuta na pia anachangia katika kuleta suluhisho flani mpya kwenye masuala mbalimbali ya teknolojia.

Kupitia kujifunza programming, mtu hupata uwezo wa kubadilisha mawazo kuwa vitendo vinavyotumika kwenye teknolojia.

Uwezo huu huleta fursa za kifedha na kazi mpya zenye mafanikio.

Pia programming inamwezesha mtu kushiriki katika miradi mingi ya ubunifu na kusaidia kutatua changamoto za kisasa kwa njia ya kidijitali.

Nita kuelezea kisa kimoja hapa kinacho nihusu mimi moja kwa moja.

KISA KILICHONIPA KUJIAMINI KATIKA PROGRAMMING

Mimi siku moja nilikaa na bwana mmoja sasa tukawa tunaongelea maisha na shughuli zetu za kila siku kila mtu kwa upande wake.

Sasa mimi nikawa naeleza sana shughuli zangu za programming jinsi nnavyo zifanya na zinafanyikaje.

Nikawa nimemwambia haswa tuna tabia ya kuskiliza sana matatizo ya watu hasa yale ambayo kuya rudia rudia yana mpa mtu wakati mgumu na hasa kuchosha sana, tunageuza changamoto kama hizo kwa namna inayoweza kuwa rahisi.

Bwana huyo akawa ananiambia kwa upande wake huwa na changamoto ya kutembea na notibuku (notebook) kwa ajili ya kuandika mienendo yake ya kazi kama vile matumizi, Tarehe aliyosaini mkataba wa kazi flani, Tarehe aliyo lipwa kiasi flani kwenye mkataba flani, akanieleza mambo kibao

Sasa mwisho kabisa akaniambia zikipita siku kadhaa taarifa hizo zote anazipeleka kwenye EXCEL ili kutunza kumbukumbu za mahesabu.

Nikawa nime muuliza , kwahiyo sasa hii ni sababu ya wewe kutembea na begi la kompyuta mara kwa mara kwenye begi lako , akanijibu Ndio.

Akaniambia afadhali tume ongelea haya leo , je tunaweza fanya kitu kurahisisha haya , Mimi nikasema Bila shaka.

Nikachukua fursa hiyo nikampa uzoefu wangu wa namna inayo wezekana kumsaidia kurahisisha michakato hiyo akiwa na simu yake.

Nakuwepo uwezekano wa kupakua EXCEL ambayo tayari inakuwa imeandaliwa kwa namna atakavyo yeye kila baada ya muda atakao yeye.

Na hii ndio taaluma ya programming, yaani kurahisisha mambo yanayo wezekana kurahisishwa kama ilivyo maana ya Teknolojia.

Kitu kinacho weza kuongezeka hapa kingine ni kwamba ujuzi wa programming huchangia katika kuboresha ustadi wa kimantiki,uwezo wa kufikiri ki mfumo, na uwezo wa kufanya maamuzi ya haraka na sahihi.

Hivyo kujifunza programming ni muhimu sana katika dunia ya leo yenye teknolojia inayo badilika kwa kasi.

MASWALI MAKUBWA ANAYO JIULIZA MTU ANAYETAMANI KUJIFUNZA PROGRAMMING NA MAJIBU YAKE YA KIMTAZAMO.

Swali
Ninaanza kujifunza programming, je, ni lugha gani ya programming ninayo paswa kuanza nayo?

Jibu
Kwa wengi, Python ni chaguo zuri la kuanza kutokana na urahisi wa kujifunza na matumizi yake katika uwanja mpana wa teknolojia.

Swali
Ni chanzo kipi bora cha kujifunza programming kwa mazingira ya kujisomea?

Jibu
Mtandao una chaguo nyingi kama vile kozi za mtandaoni, vitabu na video zinazoelekeza kwa ujuzi wa awali hadi wa juu katika programming.

Swali
Je,ni lazima kuwa na shahada au mafunzo rasmi ya programming ili kufanikiwa kama DEVELOPER?

Jibu
Hakuna sharti la kuwa na shahada au mafunzo rasmi japo yanasaidia sana kuboresha uelewa wako . Ufahamu wa vitu vya msingi na mazoezi ni muhimu zaidi.

Swali
Ni jinsi gani naweza kutatua changamoto na matatizo ninayo jaribu kupeleka taaluma yangu ya programming?

Jibu
Kujenga au kutatua changamoto ni sehemu muhimu ya mchakato wa kujifinza programming; labda kwa kuchimba zaidi kuwa na utaratibu wa kuuliza maswali na kujaribu suluhu au suluhisho tofauti tofauti kwa namna hii mtu unaweza kujifunza kutatua matatizo yanayojitokeza kwa kutumia programming.

Swali
Je, ni vipi naweza kuboresha na kujenga jina langu (kufahamika) au kutengeneza namna inayoeleweka kama programmer?

Jibu
Fanya mazoezi kwa kufanya miradi(projects) mbalimbali , shiriki kwenye platform mbalimbali fuatilia fursa mbalimbali na endelea kukua na kishirikiana na watu wengine wanaofanya kazi katika taaluma kama yako yaani programming.

PIA SOMA
- Nilijifundisha programming kwa namna hii
 
Kwanza nipinge sishauri mtu asome physon kama language ya kwanza kama mimi katika safari yangu ya software nilianza na Web HTMl and CSS then PHP na database ya MYSQL mwisho nijajifunza Javascript na baadthi ya flame work why that???

Bora ujifunze HTML na CSS sababu ni rahisi na itakupa motisha kwa sababu unaona live unacho fanya then PHP sababu is simplest language kuliko zote ninazozijua hii itakupa ufafanuzi zaidi juu ya concepts za proggraming hasa ukisoma mpaka OOP PHP then learn database hasa MYSQL

ukishapata ujuzi huo unaweza kutengeneza simple project ambazo ni full (front-end na back-end)
kisha soma Javascript ipe muda sababu kati ya language siipendi na miyeyusho ni hii ukishajua

Java ndio napendekeza uisomae why ita kuwa wigo na uelewa mpana wa Object oriented proggramming than ever ukishajua hapo napendekeza ujifunze flutter language yake ni Dart ili uweze kujifunza mobile

Baada ya hapo specilize kama ni AI jifunze Physon na kama system zinazodeal na hardware(automated) then language kama C itapendeza
 
Mkuu safari ya kujifunza inatofautiana na mtu na mtu, mimi nimeanza kujifunza low level programming i.e bash scripting then nikaja C, baada ya hapo nikaja High level programming ambayo ni python na sasa nipo javascript. HTML na CSS pia nilizifanya ndabni ya muda mfupi sana, mean while humo katikati pia nnasoma web infrastructure na networking kwa juu juu. Nipo katika programme ya ALX SE
 
Nisawa

Mkuu ndio njia ni tofauti lakini kizazi cha leo tujitahidi kutengeneza miongozo ili waelewe na wachague vyema

Kwa kua hata sisi tunao fahamu Abc manufaa ni kidogo kama jamii haijaitikia.

Hongera kwa ulipo fikia pia
 
Meanwhile am looking to connect with a community of programmers in Tanzania.
Kuhusu hili umechukua hatua gani??
Unachowaza ni sawa na mimi tu

Ushirikiano ni muhimu sana
Huwezi amini content za TEHAMA Tanzania zina hadhira ndogo sana nimefuatilia YouTube za wataalamu wengi wa kibongo hata kama amefundisha somo super unakuta ina view 50 au 38 miaka mitatu.

Kwahiyo tuna kazi ya ziada ya kuamsha BONGO za wabongo ili tupate hadhira tuweze kufanikiwa kama au kunufaika kama tasnia zingine

Sanaa,Habari na Michezo vinachukua nafasi kubwa sana katika vichwa vya watanzania

Siku moja jamii ikiitikia kama jamii ya india mimi nna hakika tutapata manufaa sana sisi programmers
 
Hakika sana, muamko wetu kiteknolojia sisi kama watanzania ni mdogo sana, jirani zetu wakenya wametuacha pakubwa hivi sasa, changamoto nadhani ni kua sisi wenyewe tumebweteka sana na kuridhika na maisha yetu ya kila siku hivyo linapokuja swala la kudevelop skills individually linakua mtihani sana.
Hatua ambazo binafsi nafikiria kufanya japo sijaanza rasmi ni kuchochea na kutengeneza community kubwa ya developers na kuweza ku organize events ambazo zita inspire wengine, na kutukuza katika fani, i.e hackathons.

Tanzania tuna brilliant minds ila zinakua wasted kizembe sana katika entertainments na michezo.

I still believe we have a chance to improve in tech!
 
0682329852
Naomba tuwasiliane sikujua kama naweza kutana na mawazo ya namna hii

Mimi nilishachua hatua mkuu napa nna namba za simu za watu wenye interest na tehama walinifuata wenyewe mimi nazani tukishirikiana hata kwa mawazo mimi na wewe na wengine. Wenye mtazamo wa aina hii tunaweza dim hata kadogo
 
Programming ni nini?

Programming ni kitendo cha kuandika maelezo au kuunda maelekezo au kuunda maelekezo kwa kutumia lugha flani ya kompyuta kwa ajili ya kufanikisha malengo flani

Mafanikio ya mtu anayefanya programming huwa ni kufanya development ya programu ya compyuta.

Unaweza ukajifunza taaluma hii mwenyewe kwa kutumia vyanzo mbalimbali lakini inapendekezwa ili kujifunza kwa haraka kidogo inakuwa inatakiwa sana mtu awe na mwalimu , na kwa nini mwalimu kwa sababu katika kujifunza taaluma hii ni ngumu kidogo kupata uhakika wa usahihi wa kile unacho kuwa unajifunza.

Siyo kama mwalimu yeye anakuwa anajua sana kile anacho kuelekeza hapana kile anacho kuambia mwelekezi wako ni kitu ambacho ukikipitia kwa mapana yake kutokana na uwezo wako wa kupambanua mambo unaweza kuwa bora kumzidi huyo mwalimu .

Mtu anayejifunza programming hupata uwezo wa kutatua matatizo kwa namna mpya na kuboresha uwezo wake wa ubunifu na ufanisi kwenye maisha yake.

Mtu anaye jifunza kompyuta programming yeye ankuwa na uwezo mkubwa sana wa kuelewa mifumo ya kompyuta na pia anachangia katika kuleta suluhisho flani mpya kwenye masuala mbalimbali ya teknolojia.

Kupitia kujifunza programming, mtu hupata uwezo wa kubadilisha mawazo kuwa vitendo vinavyotumika kwenye teknolojia.

Uwezo huu huleta fursa za kifedha na kazi mpya zenye mafanikio.

Pia programming inamwezesha mtu kushiriki katika miradi mingi ya ubunifu na kusaidia kutatua changamoto za kisasa kwa njia ya kidijitali.

Nita kuelezea kisa kimoja hapa kinacho nihusu mimi moja kwa moja.

KISA KILICHONIPA KUJIAMINI KATIKA PROGRAMMING

Mimi siku moja nilikaa na bwana mmoja sasa tukawa tunaongelea maisha na shughuli zetu za kila siku kila mtu kwa upande wake.

Sasa mimi nikawa naeleza sana shughuli zangu za programming jinsi nnavyo zifanya na zinafanyikaje.

Nikawa nimemwambia haswa tuna tabia ya kuskiliza sana matatizo ya watu hasa yale ambayo kuya rudia rudia yana mpa mtu wakati mgumu na hasa kuchosha sana, tunageuza changamoto kama hizo kwa namna inayoweza kuwa rahisi.

Bwana huyo akawa ananiambia kwa upande wake huwa na changamoto ya kutembea na notibuku (notebook) kwa ajili ya kuandika mienendo yake ya kazi kama vile matumizi, Tarehe aliyosaini mkataba wa kazi flani, Tarehe aliyo lipwa kiasi flani kwenye mkataba flani, akanieleza mambo kibao

Sasa mwisho kabisa akaniambia zikipita siku kadhaa taarifa hizo zote anazipeleka kwenye EXCEL ili kutunza kumbukumbu za mahesabu.

Nikawa nime muuliza , kwahiyo sasa hii ni sababu ya wewe kutembea na begi la kompyuta mara kwa mara kwenye begi lako , akanijibu Ndio.

Akaniambia afadhali tume ongelea haya leo , je tunaweza fanya kitu kurahisisha haya , Mimi nikasema Bila shaka.

Nikachukua fursa hiyo nikampa uzoefu wangu wa namna inayo wezekana kumsaidia kurahisisha michakato hiyo akiwa na simu yake.

Nakuwepo uwezekano wa kupakua EXCEL ambayo tayari inakuwa imeandaliwa kwa namna atakavyo yeye kila baada ya muda atakao yeye.

Na hii ndio taaluma ya programming, yaani kurahisisha mambo yanayo wezekana kurahisishwa kama ilivyo maana ya Teknolojia.

Kitu kinacho weza kuongezeka hapa kingine ni kwamba ujuzi wa programming huchangia katika kuboresha ustadi wa kimantiki,uwezo wa kufikiri ki mfumo, na uwezo wa kufanya maamuzi ya haraka na sahihi.

Hivyo kujifunza programming ni muhimu sana katika dunia ya leo yenye teknolojia inayo badilika kwa kasi.

MASWALI MAKUBWA ANAYO JIULIZA MTU ANAYETAMANI KUJIFUNZA PROGRAMMING NA MAJIBU YAKE YA KIMTAZAMO.

Swali
Ninaanza kujifunza programming, je, ni lugha gani ya programming ninayo paswa kuanza nayo?

Jibu
Kwa wengi, Python ni chaguo zuri la kuanza kutokana na urahisi wa kujifunza na matumizi yake katika uwanja mpana wa teknolojia.

Swali
Ni chanzo kipi bora cha kujifunza programming kwa mazingira ya kujisomea?

Jibu
Mtandao una chaguo nyingi kama vile kozi za mtandaoni, vitabu na video zinazoelekeza kwa ujuzi wa awali hadi wa juu katika programming.

Swali
Je,ni lazima kuwa na shahada au mafunzo rasmi ya programming ili kufanikiwa kama DEVELOPER?

Jibu
Hakuna sharti la kuwa na shahada au mafunzo rasmi japo yanasaidia sana kuboresha uelewa wako . Ufahamu wa vitu vya msingi na mazoezi ni muhimu zaidi.

Swali
Ni jinsi gani naweza kutatua changamoto na matatizo ninayo jaribu kupeleka taaluma yangu ya programming?

Jibu
Kujenga au kutatua changamoto ni sehemu muhimu ya mchakato wa kujifinza programming; labda kwa kuchimba zaidi kuwa na utaratibu wa kuuliza maswali na kujaribu suluhu au suluhisho tofauti tofauti kwa namna hii mtu unaweza kujifunza kutatua matatizo yanayojitokeza kwa kutumia programming.

Swali
Je, ni vipi naweza kuboresha na kujenga jina langu (kufahamika) au kutengeneza namna inayoeleweka kama programmer?

Jibu
Fanya mazoezi kwa kufanya miradi(projects) mbalimbali , shiriki kwenye platform mbalimbali fuatilia fursa mbalimbali na endelea kukua na kishirikiana na watu wengine wanaofanya kazi katika taaluma kama yako yaani programming.

PIA SOMA
- Nilijifundisha programming kwa namna hii
Mie nauliza tuu...inakuwaje 0 na 1 zinabadilika mpaka kuwa picha tunazoziona
 
Hili ni somo pana sana labda ili uelewe kidogo
katika kompyuta, data ya picha huitafsiriwa kama mfululizo wa nambari za binary (1 na 0). Kila pixel kwenye picha hiyo inawakilishwa na seti ya binary ambayo inaelezea rangi na mwonekano wake. Kila nambari inawakilisha sifa kama vile rangi (nyekundu, kijani, bluu) kwa kutumia mchanganyiko wa 1s na 0s. Kwa kufanya hivyo, data ya picha ya binary inaweza kuhifadhiwa, kuhaririwa, na kusambazwa kwa urahisi kati ya vifaa vya kompyuta.

Picha za binary hufanya matumizi ya mifumo ya binary (1 na 0) kuwasilisha data ya picha kwa njia ya dijiti. Kila bit ya binary kwenye data hiyo inachangia kwa kuunda mwonekano wa picha kwa njia ya alama za pixel. Kwa mfano, katika picha nyeusi na nyeupe, thamani ya 1 inaweza kuwakilisha sehemu nyeusi na 0 inaweza kuwakilisha sehemu nyeupe. Kwa kutumia uwezo wa ufafanuzi wa 1s na 0s, imewezekana kuendeleza mifumo yenye ubora wa juu wa kuwasilisha picha kwenye mazingira ya dijiti.
 
Ndio umenivuruga kabisaa....ai mie mwenzio wakati nipo shule nilikuwa back bencher
 
Back
Top Bottom