Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
MBPS = Mega Bytes Per Second
Mbps = Mega Bits Pee second
Byte 1 ni sawa na Bits 8.
Ukiuziwa internet unlimited unaambiwa ina speed ya 10Mbps haimaanishi MB 10 kwa sekunde, maana yake inaweza ku download 10/8 = 1.25 MB kwa sekunde.
Nimeleta huu uzi baada ya jamaa aliyelipia bando ya 100Mbps kulalamika ina download slow tofauti na speed yake iliyotangazwa. Hii 100Mbps ni sawa na 12.5 MB kwa sekunde.
So guys leo nimeona nipite na hii tukuzane kidogo. Mod naomba muiache humu sio kama sijui jukwaa la tech lakini nataka ifikie kila mtu.