High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MuranoNini tofauti yake
Kuzidi harrier? KiongoziMurano body karatasi
Ova
Karibu Kwa uchangiajiSasa mbona kama nilitegemea kupata details zaidi kuhusu magari then nimeondoka kapa??
Anyways, nadhani huu uzi ungeujaza na sifa za magari haya then wajumbe wachangie.
NdioKuzidi harrier? Kiongozi
Mengine ni gari ya kike...Ova!!!Murano
Generation ya kwanza 2002 – 2007
Ina engine za aina mbili
2.5L QR25DE
3.5L VQ35DE hii ni V6
Mengine wadau wataongezeaView attachment 2040779
Hizi engine zote ni 5 speed automatic
Hii gari ina space kubwa ndani ya kubeba watu watano
2.5L ni inline 4Sina uhakika kama Nissan Murano zipo zenye cylinder 4,Murano ni piston 6 alafu petrol engine
Basi kuna variant nyingHarrier nyingi nilizokutana nazo ni 4 speed, zina u140e transmission.
Unless kama wewe unazungumzia Lexus RX330 na RX350 ambazo ndio zina 5 speed, na zinakuwa na u150e transmission.
HahahahhahaMengine ni gari ya kike...Ova!!!
Basi kuna variant nying
PweintiMengine ni gari ya kike...Ova!!!
Hio 2.5L ni four cylinder engineSina uhakika kama Nissan Murano zipo zenye cylinder 4,Murano ni piston 6 alafu petrol engine