Elewa tofauti ya Nissani Murano na Toyota harrier ufanye maamuzi sahihi

Elewa tofauti ya Nissani Murano na Toyota harrier ufanye maamuzi sahihi

wakuu nipo mbioni kumnunulia wife nissan morano, vipi ulaji wake wa mafuta? na uimara wake na ubovu wake upo wapi? nashukuru
 
Nina RaV4 speed 180kph ina speed 7 CVT gia box 2AZ Fe

Okay CVT ni different case.... Ni sijawahi elewa hizo 7 speed walizipataje?

Ni kama ilivokuwa kwa DSG/DCT

Huwaga zimeanzia 6 speed.... Sijawahi ona DSG ya 4 Speed na sijui kama ipo.

Nilibase U type na A type toyota Transmission...

U type kama kwenye harrier, Rav 4, IST, n.k.

A type kama kwenye Brevis, Altezza, Lexus IS, Prado n.k
 
Murano body karatasi
Ova
Hizo story za kitaa hakuna kitu kama hicho Murano body gumu sana ,nissan hajawahi kufeli upande wa bodi ...chuma imetulia sema manazi wa Jf wengi ni wajapan wa Toyota
 
Hizo story za kitaa hakuna kitu kama hicho Murano body gumu sana ,nissan hajawahi kufeli upande wa bodi ...chuma imetulia sema manazi wa Jf wengi ni wajapan wa Toyota
Basi ungekuwa karibu Kwa nini nisikupe BIA ukanywa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom