Bepari la Kinyambo
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 852
- 1,081
Kama gari ina 180kph kwenye dashboard kuna chance kubwa sana ya kuwa na 4 speed kwenye transmission.
Kuna exception chache sana mfano baadhi ya Brevis.
Nina RaV4 speed 180kph ina speed 7 CVT gia box 2AZ Fe
Hizo story za kitaa hakuna kitu kama hicho Murano body gumu sana ,nissan hajawahi kufeli upande wa bodi ...chuma imetulia sema manazi wa Jf wengi ni wajapan wa ToyotaMurano body karatasi
Ova
Unamiliki nissan gan??Hizo story za kitaa hakuna kitu kama hicho Murano body gumu sana ,nissan hajawahi kufeli upande wa bodi ...chuma imetulia sema manazi wa Jf wengi ni wajapan wa Toyota
TITAN XD ,Unamiliki nissan gan??
Basi ungekuwa karibu Kwa nini nisikupe BIA ukanywa[emoji23][emoji23][emoji23]Hizo story za kitaa hakuna kitu kama hicho Murano body gumu sana ,nissan hajawahi kufeli upande wa bodi ...chuma imetulia sema manazi wa Jf wengi ni wajapan wa Toyota