Eleza changamoto unazokutananazo ukiwa kama 'Programmer' mpya unayejifunza mwenyewe

Ahaa
copy that

 
Msaada kidogo wakuu,
Nataka navigation bar ionekane kwenye cover image ya website.
Nafanyaje?
 

Attachments

  • Screenshot_20200224-231337-01.jpeg
    32.4 KB · Views: 3
Nimekwama mkuu,
Taratibu nitaendelea kujaribu.

Unakwama wapi haswa, hebu nenda kwenye hiyo page badilisha style ya class ya .container uweke hii

.container {
display: flex;
flex-direction: column;
justify-content: center;
align-items: center;
text-align: center;
min-height: 100vh;
}

Pia kwenye .navbar ili kupata glass effect, jaribu kuweka hii style ila ucheze cheze nayo

background-color: rgba(255, 255, 255, .15);
backdrop-filter: blur(5px);


Kwa hizo settings nilizokupa utapa matokeo kama haya hapa chini, sasa utaendelea kubadilisha badilisha mpaka ije unavyotaka.

 

Faida nyingine ni kwamba yan inakuwa rahis kureuse zile styles zako sababu kwenye html unakuwa unalink tu, sasa ukitumia internal au inline inakuwa ngumu kidogo kurecall your codes..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nini faida ya kujua PROGRAMMING?
Hivi faida za programming language ni nini haswa mkuu
Mifuno ya mashine kama kompyuta, simu, printa, gari, treni, ndege n.k huwa inatumia lugha zake (lugha za mashine) kuwasiliana, kama vile sisi binadamu tunavyotumia kiswahili au kiingereza kuwasiliana.

Lugha hizo za mashine ni ngumu sana sisi binadanu kuzielewa kwa haraka na ufasaha. Mashine nazo ni vigumu kuelewa lugha zetu ya maneno. Ili binadamu na mashine tuweze kuwasiliana inabidi kuwe na mkalimani, na mkalimani huyo ndiyo programming languages.

Kwa kujua programming language, unaweza kuongea na mfumo wowote wa kompyuta na kuiamrisha kufanya chochote upendacho. Mfano, unaweza kutengeneza mwongozo (algorithm) kuweza kuwasha taa za kibarazani kwako kila inapofika saa 12 jioni na kuzizima saa 12 asubuhi, kwa kila siku za wiki kasoro jumanne ya mwisho wa mwezi, kila baada ya miezi miwili..
 
django bado...Me ni beginner ila sio absolute.
That explains msaada naohotaji nahisi.

Kama unapenda web app mtiririko wa python upo hivi :

Python:Language,
A Web framework is a collection of packages or modules which allow developers to write Web applications.

Kwenye Python kuna framework kubwa 2 : Django na Flask.Django inafaa kwenye small and large project na watu wengi wanatumia Django kuliko flask.Mfano wa web zilizotengenezwa kwa Django ni: Google, Insta, Quora, Youtube, Nasa etc.

Kama python sio absolute beginner na unaelewa classes na functions vizuri endelea na django . Note: jitahidi kwa kila tutorial utakayo kuwa unasoma install version ya python na django sawa sawa na tutorial husika. code code code.
CodingEntrepreneurs
Introduction · Django Girls Tutorial

Django documentation:
The Web framework for perfectionists with deadlines | Django
 
Huwezi kusema unajifunza programming kwa kusoma css na html coz hizi sio programming languages.

Nilitaka kuandika same reply [emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
I'm past classes and functions...ni kwamba sipo confident yet

 
kaka una.deal na language ipi sana.
i just want to confirm

 
Nimefanikiwa kuweza kuweka navigation bar Kwa background image ya website.

Naomba msaada hapa;
Nafanya vipi ili mtu aki click home, about au contacts impeleke mpaka sehemu husika.
Kwa maana nyingine Yani hizo inputs za home, about na contacts naziweka vipi.

Natanguliza shukrani Kwa michango yenu wote huko juu.
 
Mie sijui kuhusu programming ila nilitamani sana kujua kwahiyo nikaanza kujifunza Python, kwahiyo naendelea nayo mdogo. Huu uzi umekuwa muhimu sana kwangu kwa leo. Mkuu uliyeanzisha huu ubarikiwe naona nimekaa darasani sasa najifunza mdogo mdogo.
Jambo moja ambalo linatuumiza vijana wengi wa kitanzania ni kutaka kufanya vitu kwa binafsi. Hebu angalia nyie wote mliomo na uwezo wenu, hivi hatuwezi kuunganisha hizi akili na ujuzi tukaja na Whatsapp ya kwetu, Facebook yetu, au tukaichukua idea ya mtu na kuunganisha nguvu tukawa giants?
Kila mtu amekaa kusubiri aitiwe kazi alipwe kiasi fulani aondoke ila sio kuwekeza kwenye ideas. Aisee natamani knowledge mliyonayo.
Hawa waliopo humu sio wabinafsi kabisa na nyie mtafika mbali nawaombea kwa maana mmejitoa kuelezea mambo mengi humu hadi hii w3schools nimeiona msaada mno.

Mnaonaje kama mkiamua kuchukua vichwa hivi halafu mkawekeza kwenye wazo (Idea/project), je hatutakuwa na mabilionea wa tech TZ?

Tusijifungie kusubiri kutengeneza website na projects ndogo na kuacha kuumiza kichwa kuwekeza kwenye projects ideas za kitaa!!!
 
Brother unaweza ukasimama kwanza project yako then pitia hii tutorial. Utaokoa muda mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…