Eleza changamoto unazokutananazo ukiwa kama 'Programmer' mpya unayejifunza mwenyewe

Eleza changamoto unazokutananazo ukiwa kama 'Programmer' mpya unayejifunza mwenyewe

[B]TensorFlow[/B] virtual environments AU Docker ni muhimu sana kwa Django. Django wana recommend tutumie PostgreSQL database, Japo kuwa Mysql anaperform vizuri pia. Asante kwa kushare.
 
Nini faida ya kujua PROGRAMMING?
Iko hivi, naperuzi YouTube, nikaona fursa, nikasema kesho natengeza app kwaajili ya hii fursa ... I don't care if I will or not make money but I'll just build it. Hiyo ndio faida
 
Ni bure mkuu tena wako vizuri sana kwa kweli. Pia watembelee codeacademy nao wako poa sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
This is very true
Acha USHAMBA wewe.

Kujifunza html na css ni moja ya step za kujifunza programming japo hizo sio programming lang's.

Unaweza kwenda kujifunza karatee ukashangaa unaambiwa zoezi la kwanza ni kuvaa na kuvua koti ndo utashangaa sasa.


Patiee Endelea kula tutorials next step iwe Javascript au python
Brother, ulikuwa sahihi sana
 
I agree with you, miaka km mitatu au minne hv nilianzisha harakati za kujifunza programming ila baada ya miezi sita tu niliacha sababu kuu pc yangu ilivunjika kioo basi darasa likaishia hapo hapo ila very soon narudi ulingoni tena this year na mimi naahidi kutoa feedback jinsi darasa likavyokua linaendelea!

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliendelea nimepata matokeo, sijui wewe brother
 
Back
Top Bottom