Elezea hali yako now kwa emoj Moja tu

Elezea hali yako now kwa emoj Moja tu

Ndo hayo sasa ya kubebishana na mwanaume mwenzio 😹😹 nenda pm unatushangaza tunaokuheshimu japo hatukujui .....
Naona unataka kuniingiza kwenye trap but siko interested na chokochoko zako. Nimekwambia sawazisha hisia zako ndio urudi humu. Usitafute vita vya maneno kwenye sehemu ya kusocialize
 
Back
Top Bottom