Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi ktk uchumi wake kukuwa na kuwa nchi tajiri katika Afrika ,elezea tatizo kubwa linalotukabili tukawa hatuendelei?
jamani hivi mkifeli mitihani mtalalmika kweli?umeambia neno moja wewe unaporomosha mahekaya ya abunuwasi...mitanzania hii bana sijui ikoje..halafu oooh kazi hatupati interview wanapendeleana kwa mtindo huu kweli ...