Elezea matatizo ya Tanzania kwa neno moja tu

Elezea matatizo ya Tanzania kwa neno moja tu

Sawa wana jf wote mumepatia lkn yote hayo maoni naweza kuyakusnya ktk neno moja tu,nalo ni PEOPLE

Nilikutana na mzungu mmoja ktk sfari zangu za nje tukazungumza mengi lkn alikuja kuniuliza swali km hilo mm nikamjibu Nikamwambia UONGOZI AU MANAGEMENT baadae akaniambia tatizo kubwa ni "WATU"AU PEOPLE
hili jibu alilonipa nilimkubli lkn nikafikiri mbona km tatizo ni watu mbona kuna watanzania wengi wako nje ya nchi tena wataalamu mfano:afrika ya kusini johanesburg ile miundo mbinu yote imechorwa na mtanzania?na pia utawakuta watz wapo nchini mwa watu tena wapo vizuri ktk fani zao na wazungu wanawaamini sana?je inakuwaje ?
 
jamani hivi mkifeli mitihani mtalalmika kweli?umeambia neno moja wewe unaporomosha mahekaya ya abunuwasi...mitanzania hii bana sijui ikoje..halafu oooh kazi hatupati interview wanapendeleana kwa mtindo huu kweli ...

wewe acha kusema hivyo.kwani nimeandika point ngap si moja hiyo?au zpo kumi
 
jamani hivi mkifeli mitihani mtalalmika kweli?umeambia neno moja wewe unaporomosha mahekaya ya abunuwasi...mitanzania hii bana sijui ikoje..halafu oooh kazi hatupati interview wanapendeleana kwa mtindo huu kweli ...

wewe acha kusema hivyo.kwani nimeandika kurasa ngap si moja hiyo?au zpo kumi.maneno mengne huwez andka moja.mf poor implementatn of laws and policies huwez lifupisha liwe moja
 
Back
Top Bottom