Sawa wana jf wote mumepatia lkn yote hayo maoni naweza kuyakusnya ktk neno moja tu,nalo ni PEOPLE
Nilikutana na mzungu mmoja ktk sfari zangu za nje tukazungumza mengi lkn alikuja kuniuliza swali km hilo mm nikamjibu Nikamwambia UONGOZI AU MANAGEMENT baadae akaniambia tatizo kubwa ni "WATU"AU PEOPLE
hili jibu alilonipa nilimkubli lkn nikafikiri mbona km tatizo ni watu mbona kuna watanzania wengi wako nje ya nchi tena wataalamu mfano:afrika ya kusini johanesburg ile miundo mbinu yote imechorwa na mtanzania?na pia utawakuta watz wapo nchini mwa watu tena wapo vizuri ktk fani zao na wazungu wanawaamini sana?je inakuwaje ?