Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Nimeuliza maana Kuna baadhi ya viongozi wa Dini wanasema waombe isiwepoNi kitu cha kawaida sana wala haihitajiki kupigia watu kelele sana wajue kuna mvua kubwa itanyesha. Kama kuna watu wamejenga mabondeni ni kukosa akili za kimazingira. Wazee wetu walichagua sehemu muafaka kujenga nyumba, hawakujenga mabondeni na kwenye njia za maji
hao ni viongozi wa dini wenye uono na upeo mdogo wa kuchakata mambo. Huishia kuwahubiria waumini wao ujinga kama zama za coronaNimeuliza maana Kuna baadhi ya viongozi wa Dini wanasema waombe isiwepo
ile ya 1997/98 walisema ni athari ya kubadilika kwa mkondo wa hali ya hewa bahari ya atlantiki na kusababisha mvua kubwa misitu ya congo, mvua ikaelekea afrika mashariki na ukanda wote wa bahari ya hindi. leo hii tena mnasema bahari ya pasifiki. Elezeni el nino ni kitu gani hasa, tangu kale ilitokea mara ngapi hadi sasa?El Niño inatokana na ongezeko kubwa la joto la uso wa bahari katika eneo la kati na mashariki mwa Bahari ya Pasifiki karibu na Ikweta
Zile hadithi za Abunuwasi na mazimwiWalioangamizwa wakati wa Nubu waliangamizwa kwa sababu gani?
Waliochomwa moto Sodoma na Gomora walichomwa kwa sababu gani?
Sahihi. Haitakiwi aombwehao ni viongozi wa dini wenye uono na upeo mdogo wa kuchakata mambo. Huishia kuwahubiria waumini wao ujinga kama zama za corona