GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Hupenda Kukinga Kote Kote (Kwetu na Kwao)
2. Hupenda mno Kulazimisha 'Derby' iwe na ama Sare (ya Magoli) au Suluhu (bila ya Magoli)
3. Huwa ni Muoga na ana Maamuzi ya Kujishtukia na Kutotaka lawama kwa Kote ambako amekinga
Na najua Mechi ya Kesho kwa tabia zake tajwa hapa juu iwe isiwe atalazimisha Mechi iende 90 ikiwa sare za aina Mbili nilizozitaja hapa juu ili Watu wote (Timu zote) zikamalizane Wenyewe kwa Wenyewe katika Mikwaju ya Penati ili ajiweke Salama kwa Wote kuwa amekinga zao ila hajawabeba.
Kwa wale tu ambao mnabeti nawapeni mapema mwelekeo wekeni Sare ya Magoli au ya Suluhu kwa dakika 90 sawa?