GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Game ya Kesho kwa ninavyomjua atailazimisha kwa kila namna iende Sare / Suluhu dakika 90 ili wakamalizane katika Penati ajitoe katika Lawama.Pale uwanja wa Benjamin Mkapa si kuna kituo cha bus pale nje? Achezeshe tu ila wakati wa kumaliza mpira anamalizia kituo cha basi akiwa ameshadandia daladala ya kwenda kwao, anamaliza mpira huku anakimbilia ndani ya kambi ya jeshi.
View attachment 3063667
Mzee wa kubalance. Akiacha foul ya huku anaacha na ya Kyle akiulizwa anajibu "mbona pale nimeacha hujalalamika?Game ya Kesho kwa ninavyomjua atailazimisha kwa kila namna iende Sare / Suluhu dakika 90 ili wakamalizane katika Penati ajitoe katika Lawama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had baas.Pale uwanja wa Benjamin Mkapa si kuna kituo cha bus pale nje? Achezeshe tu ila wakati wa kumaliza mpira anamalizia kituo cha basi akiwa ameshadandia daladala ya kwenda kwao, anamaliza mpira huku anakimbilia ndani ya kambi ya jeshi.
View attachment 3063667
Umenikumbusha mbali sana miaka ya 2005 Arusha uwanja wa Olorien shule ya msingi kombe la mbuzi. Kilichomuokoa refa ni mbio na kituo cha polisi kuwa karibu.Pale uwanja wa Benjamin Mkapa si kuna kituo cha bus pale nje? Achezeshe tu ila wakati wa kumaliza mpira anamalizia kituo cha basi akiwa ameshadandia daladala ya kwenda kwao, anamaliza mpira huku anakimbilia ndani ya kambi ya jeshi.
View attachment 3063667
Nashukuru kwa Kumjua hasa haya Madhaifu yake.Mzee wa kubalance. Akiacha foul ya huku anaacha na ya Kyle akiulizwa anajibu "mbona pale nimeacha hujalalamika?
Kwani huko Ulaya hiyo VAR haitumiki lakini bado tu Maamuzi ya mwisho hubakia kwa Mwamuzi wa Kati? Huna Akili Ok?Popoma acha ujinga kesho VAR inatumika.
Japo ni mwana Simba SC mwenzetu nae ila anapenda sana Rushwa halafu ni Mnafiki mno hivyo angetuua kama kawa.Kwanini asipewe Salim Arajiga?
Basi wewe jamaa chezesha hiyo mechi ππJapo ni mwana Simba SC mwenzetu nae ila anapenda sana Rushwa halafu ni Mnafiki mno hivyo angetuua kama kawa.
Ile Yanga SC ife 15 kwa 0 au?Basi wewe jamaa chezesha hiyo mechi ππ
Kwenye ngono upo fea ila sasa kwenye soka unakuwa simba jikeBora huyu Sasii, kuliko limbulu lile na ile mimacho yake plus sifa za kujishaua km limwanamke liliona danga.jipyaa.
Linapewa tuzo za mchongo tyuuh, silipendi km nini lile li mbwaa.
Mxxxxiiiieeeew zake.
We mzee ulikichafua sana enzi za JPM.. ππKwenye ngono upo fea ila sasa kwenye soka unakuwa simba jike
USSR
Siyo kwa mfyonzo huo kama mke mwenzio hahaha una ndomo reeeefuBora huyu Sasii, kuliko limbulu lile na ile mimacho yake plus sifa za kujishaua km limwanamke liliona danga.jipyaa.
Linapewa tuzo za mchongo tyuuh, silipendi km nini lile li mbwaa.
Mxxxxiiiieeeew zake.