M.Rutabo JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 1,031 Reaction score 2,647 Aug 7, 2024 #21 Ata angebalance vp sipa kipigo ni kuanzia nne na kuendelea labda mtoe timu uwanjani.
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 5,879 Reaction score 11,318 Aug 8, 2024 #22 M.Rutabo said: Ata angebalance vp sipa kipigo ni kuanzia nne na kuendelea labda mtoe timu uwanjani. Click to expand... Mkifungwa kesho msikimbilie kusema Simba imeloga
M.Rutabo said: Ata angebalance vp sipa kipigo ni kuanzia nne na kuendelea labda mtoe timu uwanjani. Click to expand... Mkifungwa kesho msikimbilie kusema Simba imeloga
Yoav Gallant JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 2,122 Reaction score 4,699 Aug 8, 2024 #23 GENTAMYCINE said: Game ya Kesho kwa ninavyomjua atailazimisha kwa kila namna iende Sare / Suluhu dakika 90 ili wakamalizane katika Penati ajitoe katika Lawama. Click to expand... Hii game refa awe Mudi mapilau, vibendera wawe Mangungu na Ahmed Ally kipigo kwa Makolo hakikwepeki
GENTAMYCINE said: Game ya Kesho kwa ninavyomjua atailazimisha kwa kila namna iende Sare / Suluhu dakika 90 ili wakamalizane katika Penati ajitoe katika Lawama. Click to expand... Hii game refa awe Mudi mapilau, vibendera wawe Mangungu na Ahmed Ally kipigo kwa Makolo hakikwepeki